hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaha kama ndio hivyo basii ajiandae kubuma " maaana kizazi chenu "" kimeshafikwa na majukumu hakina muda wa kufuatilia " burudani" wengine ambao walikuwa katika generation yenu wameshafatiki""...."hata muda " wakwenda kwenye " kumbi za starehe hawana""....so ajiandae kupata hasara kwa sbbu kundi alilochagua " kufanya nalo biashara "" halitomnufaishaAmetuimbia mashabiki wake wa miaka ile ile... nyie new school kasikilizeni calabash