Nimeshindwa quote ulichoandika hapo juu kwakuwa app yangu nikiquote comment ndefu ina crash.
Naunga mkono ulichosema wabongo hawapendi vitu complicated ndiyo maana hata jay mo kaswitch kila mtu ulisikia mwendo wa pesa madafu.
Yah wabongo wanepnda vitu easy nyimbo yenye phrase ya kukariri ukawa kama msemo.
Bridge za maana kweli chorus yenye melody nzuri.
Billnas kama ukivyosema ujanja ujanja tu anakuja na phrase kama msemo mfano chafu pozi, sina jambo, tag ubavu yani inageuka misemo ya kitaa.
Nyimbo za kusikiliza mara kumi ndiyo mtu aukariri wabongo hawana time nazo siku hizi.
Ukweli hizi nyimbo haziwezi kumrudisha nature anaweza kuja kuwa discouraged kabisa kwa maana huwezi kufanya jambo kwa style ile ile ukategemea matokeo yawe tofauti