Wazee wenzangu, Juma Nature karudi

Wazee wenzangu, Juma Nature karudi

Sure mkuu hata mimi ni shabiki wa juma nature lakini mahaba hayawezi futa ukweli. Kwa huu mziki sidhani kama atarudi wataforce force lakini matokeo hayatakuwa mazuri.
wabongo huwa wanaelewa basii"". ...wanashindwa kuelewa kuwa Jamii ya kibongo huwa haipndi kufuatilia vitu ambavyo ni conscious"" na ndio maana unaona weusi wanaimba nyimbo zenye slogan za kipuuzi kwa sababu wanajua kuwa zitapata soko tu""..... j.nature bado nimsanii mzuri but anapaswa kukubali mambo mawili "" kuepuka usela kiasi "" na kutungiwa nyimbo zenye uandishi wa kisasa ...ktika mziki wa sasa unatakiwa unakuwa na melody ya aina moja ambayo inajirudia katika kila verse "" hii huwa inasaidia mnoo maana wasikilizaji wanakuwa na uwezo wa kuikarili nyimbo yako haraka..hapo lazima atatoboa..pia anakuwa na bridge moja matata yenye kujirudia pia.... refer afanyavyo billnas kwenye nyimbo zake ..ni ujanja ujanja tu "" hkuna cha maana zaidi ya melody Kali inayojirudia na bridge matata baasi
 
bora ..tukeshe "" Maana nahisi utakuwa unahesabia mpaka zile show za buku 5....ambzo hata watu 100 hawafiki
Nimeshindwa quote ulichoandika hapo juu kwakuwa app yangu nikiquote comment ndefu ina crash.
Naunga mkono ulichosema wabongo hawapendi vitu complicated ndiyo maana hata jay mo kaswitch kila mtu ulisikia mwendo wa pesa madafu.
Yah wabongo wanepnda vitu easy nyimbo yenye phrase ya kukariri ukawa kama msemo.
Bridge za maana kweli chorus yenye melody nzuri.
Billnas kama ukivyosema ujanja ujanja tu anakuja na phrase kama msemo mfano chafu pozi, sina jambo, tag ubavu yani inageuka misemo ya kitaa.
Nyimbo za kusikiliza mara kumi ndiyo mtu aukariri wabongo hawana time nazo siku hizi.
Ukweli hizi nyimbo haziwezi kumrudisha nature anaweza kuja kuwa discouraged kabisa kwa maana huwezi kufanya jambo kwa style ile ile ukategemea matokeo yawe tofauti
 
Asante " Mkuu" umetirilika vyema kabisaa""......
ambaye atashindwa kuelewa " basi itakuwa amezaliwa kwaajili hiyo ""......
 
Inaniumaaa saanaa nikifikiria huwaga mi nalia,dem wangu amepima.amekutwa na ngoma.
Necha necha kuna mtu anakuhitaji embu toka umuone,alisoma chuo kiree cha mbarii ongea fasta dingi akitoka itakuwa msala akan'gata kidole akaangaliana na wenzake.n
Hii ngoma ilikuna sana hicho kipindi ndo nimepigwa kibuti na manka
 
Wazee wengangu mhenga mwenzetu karudi sifa ya juma nature chorus zinazoimbika na kushikika sikia hii

Ukirudi nyumbani unayumba yumba kitu gani kimekusibu x2

Ukirudi gheto unayumba yumba kitu gani kimekusibux2

Naona unashindwa kusimama na mguu mmoja
Ulevi huo x2
Nimesikiliza huo wimbo na kuiona video yake, namshauri aache muziki.
Zidane kaondoka real madrid akowa juu, ana point ya msingi, Nature ajifunze kwa zidane.
 
Back
Top Bottom