Wazee wenzangu, Juma Nature karudi

Ametuimbia mashabiki wake wa miaka ile ile... nyie new school kasikilizeni calabash
hahaha kama ndio hivyo basii ajiandae kubuma " maaana kizazi chenu "" kimeshafikwa na majukumu hakina muda wa kufuatilia " burudani" wengine ambao walikuwa katika generation yenu wameshafatiki""...."hata muda " wakwenda kwenye " kumbi za starehe hawana""....so ajiandae kupata hasara kwa sbbu kundi alilochagua " kufanya nalo biashara "" halitomnufaisha
 
Aah ngoma zipo vizuri mkuu ata vijana wa sasa tunaenda nazo sawa tu [emoji23]....

Alafu Nature yupo hewani sasa hivi msikilize Times Fm
 
Aah ngoma zipo vizuri mkuu ata vijana wa sasa tunaenda nazo sawa tu [emoji23]....

Alafu Nature yupo hewani sasa hivi msikilize Times Fm
Sawaaa..naona unajaribu " kunitongoza..."" lakini kwa kuwa kila kitu huwa kinapata kuwa kitakatifu pindi nguvu ya propaganda inapoamua kutumika...huwenda " propaganda ikitumiwa kwake "" anaweza aka hit,…Ngoja tuuachie muda na fasi ya kuhukumu "" maana ndio hakimu wa haki""....
 
Huu wimbo ukifika jumatatu ijayo bado unaskika mitaani nitaamini kweli uchawi upo....😀😀😀 Juma anatakiwa abadilike staili hii ya muziki haiuzi tena siku hizi....anamuona MTMK mwenzake chegge anavyocheza na wakati?
 
Umeshawahi hudhuria show hata moja ambayo nature yupo? Siku za karibuni
 
Ngoma gani hiyo wakuu maana mininayoijua ni 😀ile ya (shibeshibe hainabe×2)eeh😱?
 
Hiyo miondoko sisi wahenga ndio tuliimiss sasa
 
Nature yupo vizuri... toka enzi zake zile za mtoto Sonia...

Alafu akashirikishwa na inspector kwenye mzee wa busara alifunika mbaya...

Kama amerudi upya vyema sana...

Cc: mahondaw
 
Hiyo miondoko sisi wahenga ndio tuliimiss sasa
wahenga " mko wachache " soko lake lazima litayumba tu""...wahenga wengi hawana muda na entatainment " kutokana na kukabiliwa na majukumu makubwa ya kifamilia....vijana wengi wanaofuatilia entatainment "",.ni under 30 ....simanishi kwamba hawapo wahenga wanaofuatilia "" but waliopo niwachache mnoo...so demand yake ya soko haitomtoshelezesha nature akiwa kama mlishaji....."" ipo siku utaaamini hiki nachokwmbia leo
 
Hao vijana wenyewe mbona hawana msaada kwake, kazi hawana hela hawana...
 
Huu wimbo mbona kama kaurudia? Nilishawahi kuusikia sema kaubadili kidogo tu
 
Personally naona kastick kwenye style yake ya 2000's.
Sidhani kama hizi ngoma zitamrudisha hata kama akipewa promo kubwa unless support iwe kubwa toka kwa die hard fans na ile fanbase yake kubwa aliyo kuwa nayo kitambo.
Ni mtazamo wangu
 
nimetoa mtazamo kama huu wakwako lakini wafia juma nature wamekataa kunielewa",...hata mimi nishabiki wa juma nature" lakini hapa naweka mahaba kando naongelea Kile ambacho soko inakihitaji kwa wakati huu
 
Sure mkuu hata mimi ni shabiki wa juma nature lakini mahaba hayawezi futa ukweli. Kwa huu mziki sidhani kama atarudi wataforce force lakini matokeo hayatakuwa mazuri.
 
Hao vijana wenyewe mbona hawana msaada kwake, kazi hawana hela hawana...
"" hahaa acha uwongo " nenda kaangalie makundi ya watu wanaokusanyikaga kwenye show za first" after school bash ..na nyinezo ambazo unazozijua wewe " halafu angalia rika la watu wanaokwenda ktika hizo show "".... hata kama hela hawana lakini nyie ambao ndio baba zao ..kaka zao ..Dada zao huwa mnawapa pesa za matumizi nawao wana make kwaajili yakwenda kumtazama harmonise... aslay " etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…