The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Watu wameput lowkey profilePosts za forex trading zimepungua sana siku hizi.
Watu wapo bize na forex mbonaPosts za forex trading zimepungua sana siku hizi.
Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!Easy strategy for 25$ Pm for online mentorship
Kwahiyo ww unamjua huyo mentor wa IPDA?Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!
Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi. Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
Mimi nimejifunza IPDA kutoka kwa Michael huddleston(Ni Mmarekani mwanzilishi wa strategy ya ICT),hadi sasa hivi nimeshamaster pairs kama vile USDZAR, GBPZAR, EURZAR, EURUSD, GBPUSD pamoja na USDCAD.
We unafikiri wote tunafundisha mistari mistari iyo,nakufundisha jinsi ya kutumia izo candle unazoziona nakufundisha uwe liquidity graber sio liquidity provider,Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!
Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi. Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
We unafikiri wote tunafundisha mistari mistari iyo,nakufundisha jinsi ya kutumia izo candle unazoziona nakufundisha uwe liquidity graber sio liquidity provider,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni professional hadi usomee ndiyo utaiweza! ni sawa na mimi unipeleke wodini uniambie nifanyie watu operation, lazima nitaua wote!
Covid-19 is the moneyUK100,NAS100,GER30,US30,#Amazon,#Apple , sell-going short, imelipa kweli wiki nzima. Go short when there is covid19 in the "streets".