Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

Mimi nimejifunza IPDA kutoka kwa Michael huddleston(Ni Mmarekani mwanzilishi wa strategy ya ICT),hadi sasa hivi nimeshamaster pairs kama vile USDZAR, GBPZAR, EURZAR, EURUSD, GBPUSD pamoja na USDCAD.Nimemaster kwa maana ya kwamba najua namna IPDA inavyofanya manipulations kwenye hizo pair na mimi natakiwa kuingia wakati gani(entry rule) na ni wakati gani natakiwa nikae pembeni
Nifundishe basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamaana nyingine ni kuwa hiyo IPDA au ICT Ni strategy kama zingine kwakuwa zinakusaidia kujua (entry and exit a trade position)
Mimi nimejifunza IPDA kutoka kwa Michael huddleston(Ni Mmarekani mwanzilishi wa strategy ya ICT),hadi sasa hivi nimeshamaster pairs kama vile USDZAR, GBPZAR, EURZAR, EURUSD, GBPUSD pamoja na USDCAD.Nimemaster kwa maana ya kwamba najua namna IPDA inavyofanya manipulations kwenye hizo pair na mimi natakiwa kuingia wakati gani(entry rule) na ni wakati gani natakiwa nikae pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, strategy kubwa katika forex ni ICT pamoja na BTMM. IPDA ipo ndani ya ICT, mtu ambae anaipenda forex namshauri ajifunze ICT, BTMM siyo nzuri sana
Binafsi ICT imenishnda. Ila najua strategy yoyote inahusu (ENTRY AND EXIT RULES) haijalishi jina la strategy maana kila mtu atatafuta namna ya kutrade itakayo mpendeza hata kama watu wawili wafundishwe ICT na huyo michael

ICT ni pana sana, cha kufanya ili isikushinde chukua kipengele kidogo kufa nacho! Mfano mimi huwa natrade power of 3 kwenye London kill zone na nipo very comfortable.
 
Liquidity provider!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa sasa unapozungumzia maswala ya kuwa liquidity graber nimekubali upo vizuri mkuu
Tena haswa hapo ndo wiki imeanza ivo Eurjpy
IMG_20200302_121155_860.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walio swing EURAUD asubuhi ya leo watakuwa wanavuna PIPS mida hii💸💰💸💰
 
Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!

Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi. Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
Huu uongo umeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo tena?! Jifunze ICT mzee!! Mimi strategy yangu huwa natrade IPDA kwenye London open kill zone na niko very comfortable!
Tatizo sio ICT.

Kuwaambia watu kuhusu IPDA ni aina mpya ya kuwajaza uoga na kuuza strategy yake.

Sawa na BTMM, unatengeneza scenario ya watu kuogopa kwamba kuna Market Marker then unachomeka strategy yako.

Market is always right. Hakuna cha market marker.

Price action is everything.

Kwa hiyo hakuna market maker?! Liquidity provider ni nani? na huwa anatoaje liquidity?
 
Kwa hiyo hakuna market maker?! Liquidity provider ni nani? na huwa anatoaje liquidity?
Scenario ya market marker ni tofauti na traders wanavyodanganywa.

Market marker is someone who creates products for retail traders to trade ili hali yeye anakula commission.

Wao wanakaa wanadesign product then wanakupa retail trader ili uweze kutengeneza kipato chako.

Bila market markers kusingekuwa na hizi pairs tunazoziona. Hata Volatility Index zinatengenezwa na market markers.

Liquidity provider is someone who gives you access to use his platform to push your positions to the market.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, strategy kubwa katika forex ni ICT pamoja na BTMM. IPDA ipo ndani ya ICT, mtu ambae anaipenda forex namshauri ajifunze ICT, BTMM siyo nzuri sana

Bro naomba kujua kirefu cha IPDA, maana zile notes za ICT zina short-term nyingi...Ila BTMM naipata but ina complicated ways of trading tofauti na SMT
 
Back
Top Bottom