Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara kichaa!Forex forex forex 😆😆😆😆😆😆😆😆
Hivi yule Zakayo bado anapiga hela maboya?
Sa hivi ukienda kule ig anaandaa kupiga tena mwezi wa pili, maneno mengiii ila watu watalia tena 😂😂😂Hivi yule Zakayo bado anapiga hela maboya?
Safari hii Lazima wamfungeSa hivi ukienda kule ig anaandaa kupiga tena mwezi wa pili, maneno mengiii ila watu watalia tena 😂😂😂
Je, vipi kuhusu pair ya V75?Mimi nimejifunza IPDA kutoka kwa Michael huddleston(Ni Mmarekani mwanzilishi wa strategy ya ICT),hadi sasa hivi nimeshamaster pairs kama vile USDZAR, GBPZAR, EURZAR, EURUSD, GBPUSD pamoja na USDCAD.
Nimemaster kwa maana ya kwamba najua namna IPDA inavyofanya manipulations kwenye hizo pair na mimi natakiwa kuingia wakati gani(entry rule) na ni wakati gani natakiwa nikae pembeni
bit.ly
Embu mkuu funguka zaidi mkuu nizidi kujifunzaNaona mnapambana kweli kutambiana strategies.[emoji2]
Ila mpaka Sasa hamjamjui mchawi wenu Hasa ni Nini?
Zunguka BTMM,elliotwave,price action,indicators demand and supply na takataka zooote Ila Kama hujui kubalance na trick za MULTIPLE TIMEFRAME ANALYSIS utapigwa tu daily[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa umeongea point kubwa sana mkuu..Ninachoamini kwenye hii biashara kama ulijifundisha utazunguka kupata strategy ukisikia MM unaikimbilia ICT vivyo hvyo. Nimefuatilia strategy chungu nzima ila kwangu haziwork. Naamini strategy itakayokupa pesa comfortably komaa nayo. Wapo watu wanaweza kutrade na pair moja au mbili hii ni kutokana strategy yake. Amini forex ni kama kariakoo vya kununua ni vingi na vya kuuza ni vingi. Ili ununue nyanya una prio. Zako nguo hvyo hvyo viatu cm na bidhaa zingine na forex ni hvyo hvyo.
Ila kama hauna knowledge achana na hii biashara kwanza tafuta ujue basics kuihusu.
Risk mgt ndio muhimu sana;
Lot size.
Stop loss.
Risk mgt ndio muhimu sana;
Lot size.
Stop loss.
Kwenye forex hakuna strategy inayo work 100% tuanzie hapo kwanza.
Sahihi, RRR ndio kila kitu, Positions hizi nimeweka RRR ya 1:3 most of them
View attachment 2707073
- Vyote ulivotaja ni sahihi kwa kuongezea
#4. Uelekeo sahihi wa market | Hapa Tumia HTF (MN_D1 combination)
View attachment 2707080
#5. Entry Sahihi | Hapo tumia lower Timeframe for Entry Price Confirmation | Kwangu Lower Time Frame ni M30, H1 na H4
View attachment 2707074
#5. Live Market Analysis | Uwe na stratergy yako, Ambayo ni Based to HTF to LTF analysis, Automate hiyo stratergy ili utumie Live data za OHLC price of the last Two Candle vs MN,D1,H4 and H1 | Hapa kwa kifupi Badili stratergy yako yenye indicators kadhaa kuwa EA moja.
View attachment 2707081
Picha | Ni sehemu ya EA yangu ambayo inanipatia Signal kwa kutegemea Real Live Data Feed toka MN,D1, H4, H1, and M30
=
Nimepost EA kadhaa ambazo zinatumia Indicator moja Hapa | Search
=
The Most profitable FREE ea nilizo post ni hizi
Recommended TimeFrame | H1 , Tesk kwanza kwenye DEMO ujiridhishe kabla ya kutumia kwenye live account
- hii | I will code your EAs and Indicators for no charge
- Na hii | I will code your EAs and Indicators for no charge
==
For #Traders
1. Kama wewe ni trader na unatumia indicator na unatamani kubadili indicator moja na kuwa EA | Habari njema ni kuwa naweza kukutengenezea EA for Free , Unachotakiwa kufanya ni ku Upload hiyo indicator hapa JF sehemu ya comment au kule ForexFactory kwenye thread husika na nitaibadili indicator yako kuwa EA for FREE.
2. Kama una PAID indicator from MQL market, Napo inawezekana kuibadili kuwa EA, BUT Not free it cost you only $100 for one Indicator to EA
3. Kama una trading stratergy yenye indicator mfano Tatu, na unahitaji kuzibadili kuwa EA | Basi kila indicator moja cost ni $100 hivyo EA yenye indicators tatu (yaani stratergy yako) basi utalipa $300
Mawasiliano for Private Coding Indicator to EA ni check PM au Telegram @MwlRCT
Je unafanya vipi?analysis nafanya MN,W1,D1,H4 entry H1.