Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

Nifundishe basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamaana nyingine ni kuwa hiyo IPDA au ICT Ni strategy kama zingine kwakuwa zinakusaidia kujua (entry and exit a trade position)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, strategy kubwa katika forex ni ICT pamoja na BTMM. IPDA ipo ndani ya ICT, mtu ambae anaipenda forex namshauri ajifunze ICT, BTMM siyo nzuri sana
Binafsi ICT imenishnda. Ila najua strategy yoyote inahusu (ENTRY AND EXIT RULES) haijalishi jina la strategy maana kila mtu atatafuta namna ya kutrade itakayo mpendeza hata kama watu wawili wafundishwe ICT na huyo michael

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ICT ni pana sana, cha kufanya ili isikushinde chukua kipengele kidogo kufa nacho! Mfano mimi huwa natrade power of 3 kwenye London kill zone na nipo very comfortable.
 
Walio swing EURAUD asubuhi ya leo watakuwa wanavuna PIPS mida hii💸💰💸💰
 
Huu uongo umeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo tena?! Jifunze ICT mzee!! Mimi strategy yangu huwa natrade IPDA kwenye London open kill zone na niko very comfortable!
Tatizo sio ICT.

Kuwaambia watu kuhusu IPDA ni aina mpya ya kuwajaza uoga na kuuza strategy yake.

Sawa na BTMM, unatengeneza scenario ya watu kuogopa kwamba kuna Market Marker then unachomeka strategy yako.

Market is always right. Hakuna cha market marker.

Price action is everything.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hakuna market maker?! Liquidity provider ni nani? na huwa anatoaje liquidity?
 
Kwa hiyo hakuna market maker?! Liquidity provider ni nani? na huwa anatoaje liquidity?
Scenario ya market marker ni tofauti na traders wanavyodanganywa.

Market marker is someone who creates products for retail traders to trade ili hali yeye anakula commission.

Wao wanakaa wanadesign product then wanakupa retail trader ili uweze kutengeneza kipato chako.

Bila market markers kusingekuwa na hizi pairs tunazoziona. Hata Volatility Index zinatengenezwa na market markers.

Liquidity provider is someone who gives you access to use his platform to push your positions to the market.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, strategy kubwa katika forex ni ICT pamoja na BTMM. IPDA ipo ndani ya ICT, mtu ambae anaipenda forex namshauri ajifunze ICT, BTMM siyo nzuri sana

Bro naomba kujua kirefu cha IPDA, maana zile notes za ICT zina short-term nyingi...Ila BTMM naipata but ina complicated ways of trading tofauti na SMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…