Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Naona mnapambana kweli kutambiana strategies.[emoji2]
Ila mpaka Sasa hamjamjui mchawi wenu Hasa ni Nini?
Zunguka BTMM,elliotwave,price action,indicators demand and supply na takataka zooote Ila Kama hujui kubalance na trick za MULTIPLE TIMEFRAME ANALYSIS utapigwa tu daily[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi naona sasa nilete strategy yangu niite Lello199 niipambe[emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnapambana kweli kutambiana strategies.[emoji2]
Ila mpaka Sasa hamjamjui mchawi wenu Hasa ni Nini?
Zunguka BTMM,elliotwave,price action,indicators demand and supply na takataka zooote Ila Kama hujui kubalance na trick za MULTIPLE TIMEFRAME ANALYSIS utapigwa tu daily[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
interbank price delivery algorithmBro naomba kujua kirefu cha IPDA, maana zile notes za ICT zina short-term nyingi...Ila BTMM naipata but ina complicated ways of trading tofauti na SMT
Asanteinterbank price delivery algorithm
Kama una material ya ICT mentorship komaa sana na month 4 pamoja na month 8Asante
Kama una material ya ICT mentorship komaa sana na month 4 pamoja na month 8
Hatari sanaWale wa forex inachokifanya EURUSD sahivi sio fair naona inarudi nyumbani kwa kasi utafikiri korona imeisha...[emoji23][emoji28]
πHatari sana
Walikamua sana maana ile ilikuja ku breakout resistance , then USD went WEAK baada ya European Union kutangaza kuongeza mabilioni ya EURO kuokoa Uchumi wa nchi zilizopo ukanda wa Euro, lakini huenda EURUSD ika retest tena, tusubiri pullback kabla ya kuendelea ku BUY[emoji2][emoji23]
Waliokuwa wame buy waliula!.. vigagula sasa ni mwendo [emoji24]
[emoji28]
UK100,NAS100,GER30,US30,#Amazon,#Apple , sell-going short, imelipa kweli wiki nzima. Go short when there is covid19 in the "streets".
Na hata hiko ulichokisema sio Mchawi wa FX Trader,Naona mnapambana kweli kutambiana strategies.[emoji2]
Ila mpaka Sasa hamjamjui mchawi wenu Hasa ni Nini?
Zunguka BTMM,elliotwave,price action,indicators demand and supply na takataka zooote Ila Kama hujui kubalance na trick za MULTIPLE TIMEFRAME ANALYSIS utapigwa tu daily[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
i concur with you, trading should be simple and not complicated. The more you complicate your strategy the more you donate your hard earned money to brokers. Though naifahamu vizuri tu price action I have decided to trade with price action based indicators. Strategy nzuri itakayokupatia hela unaitegeneza wewe mwenyewe iwe ni indicator au price action au combination of both indicator + price action.Naona watu mnatambiana humu kila mtu aonekane fundi au strategy yake ni bora zaidi ya mwingine.. Kwenye forex hakuna strategy inayo work 100% tuanzie hapo kwanza.
2nd kwenye Forex hakuna kitu kinaitwa perfect 100% ndio maana tuna trade na stop loss na tatizo lipo hapo watu wanataka kuingia sokoni akiwa perfect 100% na hapo ndio mwanzo wa kufanya emotions trade.
Ukisoma au kusikiliza audio book ya Mark Douglass "Zone to Zone" utaelewa point yangu.
Kifupi kila strategy ni nzuri kwako kama inakupa ela, usije ukatishwa au kupewa pressure na watu wanaokujaza upepo ili wakupige pesa zako bure hakuna usahihi wa strategy yoyote kwenye fx inayo work 100% ingekua hivyo tungekua na 1 fixed strategy.
Binafsi mimi natumia Falcon strategy "Pure price action, no indicator" lakini kuna watu nawafahamu wanatumia zones to zones, wapo wanaotumia indicators, wapo wanaotumia order block na wanapiga ela vizuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo porojo tu mzee. Market in direction mbili up or down.Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!
Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi.
Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.
Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!