Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread




aaah Ringo wa kitambo sana ... unampata mrisho pia last time alikuwapo rio mie ni yellow aisee sijafika huko kwenye green bado
 
Shotokan karate do ndo mchezo dume hapo,niliwahi karibu guljuryo na kung fu sikuvutiwa,ila nlipo anza shotokan nimegundua huu ni mchezo wa kiume,hakuna mbwembwe ni vitu tu
 
Mhh bro nadhani hauifahamu shotokan vilivyo,shotokan wa kitozi?,utakuwa umefananisha ya goljoryu au kung fuu,
Tech bunkai na kata za shotokan ndo zimetawala majeshi yote
Jeshini mara nyingi zinazotawala ni taekwondo, judo combat, kombat karate, pia kwa sasa krav maga,
Hizo shotokan karate ni kwaajili ya sports not for military combat!!
 
pale kanisani kulikuwa na wapiganaji hatari sana kipindi hicho sijui kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…