Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Tehetehe 92kjNgele ngele..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehetehe 92kjNgele ngele..
Hizo ni ngumi za kijeshi, hasa special forces (commando unit) mara nyingi hazifundishwi kwa raia, asili yake IsraelWapi wanafundisha Krav Maga hapa bongo?
Shotokan mchezo wa kitozi sana.Hivi ikitokea mpigano kati ya black belt wa shotokan na black belt wa Tae kwo ndo unadhani nani atakimbizwa?
Cheza mbali na taekwondo, mateke yake mfululizo na ngumi za fasta, taekwondo hazina yake mateke kwa sana ya kiufundi zaidiHivi ikitokea mpigano kati ya black belt wa shotokan na black belt wa Tae kwo ndo unadhani nani atakimbizwa?
Kung FuMnyamwezi BORO YOUNG anasimama category ipi hapo
Krav Maga ?? Ukute hapo hata kukunja ngumi kurusha jaramba la Ura- zuki hujui ,wewe jamaa banaWapi wanafundisha Krav Maga hapa bongo?
Krav Maga ?? Ukute hapo hata kukunja ngumi kurusha jaramba la Ura- zuki hujui ,wewe jamaa bana
Najulia wapi mimi yangu mawe tu niumize mikono ya nini ??We unajua?
C.T.U mkuu nilifanya shotokan karate back in 1998 - 2000 nilianzia white hadi green belt mwanzoni
Shule zikawa tight za ma boading alafu nje za jirani hapa east africa mazingira si condunsive kisha yakaja maisha hadi now nipo busy na life
Lakini soon nita settle nitawatafuta wadau
Manzese Roman Cathoric grounds Yupo Sensei mmoja long time yupo vizuri kawatoa wengi hanaga mbwembwe wa dharau wala kutaka kuwa juu I knew him since 1998.....
Ukumbi wa utamaduni wa Russia alikuwepo Ringo Sensei I dunno if still there?
Na sensei wangu nitamtafuta any soon..
What do you have bro C.T.U
Mhh bro nadhani hauifahamu shotokan vilivyo,shotokan wa kitozi?,utakuwa umefananisha ya goljoryu au kung fuu,Shotokan mchezo wa kitozi sana.
Ringo ni sesey mkubwa hapa bongo nadhani pia aliwahi kuwa kiongozi tashokaaaah Ringo wa kitambo sana ... unampata mrisho pia last time alikuwapo rio mie ni yellow aisee sijafika huko kwenye green bado
Bro yellow ya mchezo upi,shotokan ama?aaah Ringo wa kitambo sana ... unampata mrisho pia last time alikuwapo rio mie ni yellow aisee sijafika huko kwenye green bado
Unacheza eyan kata,shotokan kaka
Jeshini mara nyingi zinazotawala ni taekwondo, judo combat, kombat karate, pia kwa sasa krav maga,Mhh bro nadhani hauifahamu shotokan vilivyo,shotokan wa kitozi?,utakuwa umefananisha ya goljoryu au kung fuu,
Tech bunkai na kata za shotokan ndo zimetawala majeshi yote
pale kanisani kulikuwa na wapiganaji hatari sana kipindi hicho sijui kwasasaC.T.U mkuu nilifanya shotokan karate back in 1998 - 2000 nilianzia white hadi green belt mwanzoni
Shule zikawa tight za ma boading alafu nje za jirani hapa east africa mazingira si condunsive kisha yakaja maisha hadi now nipo busy na life
Lakini soon nita settle nitawatafuta wadau
Manzese Roman Cathoric grounds Yupo Sensei mmoja long time yupo vizuri kawatoa wengi hanaga mbwembwe wa dharau wala kutaka kuwa juu I knew him since 1998.....
Ukumbi wa utamaduni wa Russia alikuwepo Ringo Sensei I dunno if still there?
Na sensei wangu nitamtafuta any soon..
What do you have bro C.T.U