Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

C.T.U mkuu nilifanya shotokan karate back in 1998 - 2000 nilianzia white hadi green belt mwanzoni

Shule zikawa tight za ma boading alafu nje za jirani hapa east africa mazingira si condunsive kisha yakaja maisha hadi now nipo busy na life
Lakini soon nita settle nitawatafuta wadau

Manzese Roman Cathoric grounds Yupo Sensei mmoja long time yupo vizuri kawatoa wengi hanaga mbwembwe wa dharau wala kutaka kuwa juu I knew him since 1998.....

Ukumbi wa utamaduni wa Russia alikuwepo Ringo Sensei I dunno if still there?

Na sensei wangu nitamtafuta any soon..

What do you have bro C.T.U

aaah Ringo wa kitambo sana ... unampata mrisho pia last time alikuwapo rio mie ni yellow aisee sijafika huko kwenye green bado
 
Shotokan karate do ndo mchezo dume hapo,niliwahi karibu guljuryo na kung fu sikuvutiwa,ila nlipo anza shotokan nimegundua huu ni mchezo wa kiume,hakuna mbwembwe ni vitu tu
 
Mhh bro nadhani hauifahamu shotokan vilivyo,shotokan wa kitozi?,utakuwa umefananisha ya goljoryu au kung fuu,
Tech bunkai na kata za shotokan ndo zimetawala majeshi yote
Jeshini mara nyingi zinazotawala ni taekwondo, judo combat, kombat karate, pia kwa sasa krav maga,
Hizo shotokan karate ni kwaajili ya sports not for military combat!!
 
C.T.U mkuu nilifanya shotokan karate back in 1998 - 2000 nilianzia white hadi green belt mwanzoni

Shule zikawa tight za ma boading alafu nje za jirani hapa east africa mazingira si condunsive kisha yakaja maisha hadi now nipo busy na life
Lakini soon nita settle nitawatafuta wadau

Manzese Roman Cathoric grounds Yupo Sensei mmoja long time yupo vizuri kawatoa wengi hanaga mbwembwe wa dharau wala kutaka kuwa juu I knew him since 1998.....

Ukumbi wa utamaduni wa Russia alikuwepo Ringo Sensei I dunno if still there?

Na sensei wangu nitamtafuta any soon..

What do you have bro C.T.U
pale kanisani kulikuwa na wapiganaji hatari sana kipindi hicho sijui kwasasa
 
Back
Top Bottom