MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Tusubiri wakenya waje watuambieKwani mwai kibaki mzima?
Ana matatizo ya kiafya mkuu. Yule dikteta Moi naye hatuna hamu kabisa ya kumuona wala kumsikiza. Sio baada ya uhuni wake na mateso ambayo wakenya waliyapitia kwa miaka 24 ya utawala wake.Kwani mwai kibaki mzima?
Hahaa udikteta wake ulikuwaje?Ana matatizo ya kiafya mkuu. Yule dikteta Moi naye hatuna hamu kabisa ya kumuona wala kumsikiza. Sio baada ya uhuni wake na mateso ambayo wakenya waliyapitia kwa miaka 24 ya utawala wake.
Umenikumbusha mauaji ya oukoAna matatizo ya kiafya mkuu. Yule dikteta Moi naye hatuna hamu kabisa ya kumuona wala kumsikiza. Sio baada ya uhuni wake na mateso ambayo wakenya waliyapitia kwa miaka 24 ya utawala wake.
Nyimbo za kumsifia, kama Tawala Kenya, Tawala. Wapinzani korokoroni wakifanyiwa kweli na 'pliers'. Kivuli cha chama cha baba na mama, KANU, nyumbani, shuleni, makanisani. Miili ya wendazao misituni, vichakani. .....n.k n.k!Hahaa udikteta wake ulikuwaje?
Wanatuita wapumbavu bora hilo la malofaKwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.
Majaji wale wakoraKwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.
Majaji wale wakora
Mavi ya kuku.
Wewe ni bure kabisa
Marais wa kenya ni wakosa nidhamu zaidi ya kupindukia.
π
Nani sasa anatukana watu?
hahahhaa..Moi tawala kenya tawalaaa Rais Moi tawala kenya tawala.. Umenikumbusha mbali.Nyimbo za kumsifia, kama Tawala Kenya, Tawala. Wapinzani korokoroni wakifanyiwa kweli na 'pliers'. Kivuli cha chama cha baba na mama, KANU, nyumbani, shuleni, makanisani. Miili ya wendazao misituni, vichakani. .....n.k n.k!
Kwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.
hahahhaa..Moi tawala kenya tawalaaa Rais Moi tawala kenya tawala.. Umenikumbusha mbali.
Huo wimbo ndio ulikuwa wimbo wa taifa, hitsong kwenye chart zote na sala kwa kila mkenya, bila ya kubagua dini wala tabaka. Tawala Kenya tawala, na atokomee gizani, huyo mzee mwenye roho nyeusi zaidi ya mkaa.hahahhaa..Moi tawala kenya tawalaaa Rais Moi tawala kenya tawala.. Umenikumbusha mbali.
Mwai Kibaki alikuwa anti-social jombaa. Ilikuwa hivi, ukimkaribia sana anakuita mavi ya kuku! πWale walikuwa marais au tribal leaders!!???
Hata kualikwa nje ya NCHI kama kina KIKWETE wanaenda SADC, hata majirani ZETU Chisano wao anaitwa huku na huko, hata Salim utakuta anaitwa asimamie tuzo ya Mo Ibrahim. Sasa NYIE VIONGOZI wenyu wanakuwa wenyu KWELI KWELI.
Aliyekufundisha kiswahili kaharibu Sana, badala ya kujibu ulichoitiwa unatukashifuKwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.
Mwai Kibaki alikuwa anti-social jombaa. Ilikuwa hivi, ukimkaribia sana anakuita mavi ya kuku! π