Wazee wetu moi na kibaki wapo kimya sana

Wazee wetu moi na kibaki wapo kimya sana

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,701
Reaction score
71,056
Marais wa kenya wakistaafu hawasikiki tena tofauti na nchi zingine, tafadhali naomba mwenye ufahahamu atuhabarishe maana nawakumbuka sana wazee wetu mwai kibaki na moi
 
Bootlickers na Ushawishi wa Kimataifa wapi na wapi mkuu? Hao viongozi huchaguliwa kwa tribal interests, never competencies, Unlike them,
Late Nyerere, Ben.Mkapa, J.Kikwete are still International Icons, their leadership and Influence continues to their death, the only thing Kenyan leaders are good at is stealing.
 
Kwani mwai kibaki mzima?
Ana matatizo ya kiafya mkuu. Yule dikteta Moi naye hatuna hamu kabisa ya kumuona wala kumsikiza. Sio baada ya uhuni wake na mateso ambayo wakenya waliyapitia kwa miaka 24 ya utawala wake.
 
Ana matatizo ya kiafya mkuu. Yule dikteta Moi naye hatuna hamu kabisa ya kumuona wala kumsikiza. Sio baada ya uhuni wake na mateso ambayo wakenya waliyapitia kwa miaka 24 ya utawala wake.
Umenikumbusha mauaji ya ouko
 
Hahaa udikteta wake ulikuwaje?
Nyimbo za kumsifia, kama Tawala Kenya, Tawala. Wapinzani korokoroni wakifanyiwa kweli na 'pliers'. Kivuli cha chama cha baba na mama, KANU, nyumbani, shuleni, makanisani. Miili ya wendazao misituni, vichakani. .....n.k n.k!
 
Kwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.
Majaji wale wakora

Mavi ya kuku.

Wewe ni bure kabisa

Marais wa kenya ni wakosa nidhamu zaidi ya kupindukia.

🙂

Nani sasa anatukana watu?
 
Majaji wale wakora

Mavi ya kuku.

Wewe ni bure kabisa

Marais wa kenya ni wakosa nidhamu zaidi ya kupindukia.

🙂

Nani sasa anatukana watu?

Bora utukane viongozi wenzako kuliko kuwatukana maskini wananchi wako.
 
Kwetu marais wakiistafu hutawaskia wakiita watu malofa kama ilivyo kwenu.

Wale walikuwa marais au tribal leaders!!???
Hata kualikwa nje ya NCHI kama kina KIKWETE wanaenda SADC, hata majirani ZETU Chisano wao anaitwa huku na huko, hata Salim utakuta anaitwa asimamie tuzo ya Mo Ibrahim. Sasa NYIE VIONGOZI wenyu wanakuwa wenyu KWELI KWELI.
 
hahahhaa..Moi tawala kenya tawalaaa Rais Moi tawala kenya tawala.. Umenikumbusha mbali.

Ahaaa haaa haaa
Kwani MPAKA saa hii nani anaTAWALA Kenya!!? Ni Moi ila kivingine.
 
hahahhaa..Moi tawala kenya tawalaaa Rais Moi tawala kenya tawala.. Umenikumbusha mbali.
Huo wimbo ndio ulikuwa wimbo wa taifa, hitsong kwenye chart zote na sala kwa kila mkenya, bila ya kubagua dini wala tabaka. Tawala Kenya tawala, na atokomee gizani, huyo mzee mwenye roho nyeusi zaidi ya mkaa.
 
Wale walikuwa marais au tribal leaders!!???
Hata kualikwa nje ya NCHI kama kina KIKWETE wanaenda SADC, hata majirani ZETU Chisano wao anaitwa huku na huko, hata Salim utakuta anaitwa asimamie tuzo ya Mo Ibrahim. Sasa NYIE VIONGOZI wenyu wanakuwa wenyu KWELI KWELI.
Mwai Kibaki alikuwa anti-social jombaa. Ilikuwa hivi, ukimkaribia sana anakuita mavi ya kuku! 😀
 
Mwai Kibaki alikuwa anti-social jombaa. Ilikuwa hivi, ukimkaribia sana anakuita mavi ya kuku! 😀

Ahaaa haaa haaa
Sijakuelewa unachomaanisha. Inamaana hata Ruth akimjongelea alimuita hivyo??
Mbona ALIKUWA anamkubali SANA KIKWETE MPAKA KUNA mtaa huku unaitwa Mwai kibaki.
 
Back
Top Bottom