Wazijua siri za Vatican?

Wazijua siri za Vatican?

Nazitoa kimanyantumanyantu.
Maisha ya Yesu kati ya umri wa miaka 13 mpaka 29...kwa nini yamefichwa?JIBU LIPO.
Yamefichwa sababu ni maisha yake binafsi kama mwanadamu ambayo sio umuhimu.
Maisha ya injili ndio ya maana zaidi
 
Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,

ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,

Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote

NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
Sass kwanini hivyo vitabu havijateketezwa hadi leo!?? Vinalindwa ili!??

Acheni urongo
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
hapo ulipo malizia pamekuharibia uzi na kuonekana yote uliyoandika ni uzushi na urongo.
 
Leta source ya taarifa YAKO la sivyo na ww tuna assume ni muongo KWA maanA vigezo ulivotaja tunaomba huna
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
 
Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,

ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,

Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote

NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
Tunasubili kwa hamu hiyo thread mkuu
 
Back
Top Bottom