JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Yule jamaa kujiamini vile kama vile mjeshiNissan
Pombe na bangi halafu anapanda gari. Uhuru ukizidi unatengeneza jamii ya kijinga sana.😂 jamaa kazingua sana. Ule ni utovu wa nidhamu kupitiliza.
Tundu Lisu: Nissan mbili zilikuwa zinanifuatiliaYule jamaa kujiamini vile kama vile mjeshi
AiseeNaibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
Kuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemea.Askari ameyachoka maisha huyu,kwanini ukae mbele hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu?sio wote wanaotembea barabarani ni binadamu.
Kuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemeaAskari ameyachoka maisha huyu,kwanini ukae mbele hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu?sio wote wanaotembea barabarani ni binadamu.
Ukute jamaa kamwambia sina lesseni trafic anakomaa🤣Kuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemea
Yule mwovu aliwahalalishia hiyo rushwa akaibatiza hela ya kubrashia viatu.Tatizo askari wa barabarani ni wasumbufu na wanapenda sana kupokea rushwa.
Angetoa agizo pia yule mtoto wa waziri mwenzake naye anyanganywe leseni.Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
Kweli kabisa.Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”