Waziri anakwenda na wakati, makofi na vigelegele kwake

jaribu kufikiria kama ingekuwa niwewe! tusiwe wepesi kuhukumu.
 
jaribu kufikiria kama ingekuwa niwewe! tusiwe wepesi kuhukumu.
Unataka watu wafurahie upuuzi....nani kamuhukumu?
Yaani ufanye ujinga watu wakuchekee tu....hivi unajua kuwa huyu amekabidhiwa dhamana ya afya ya watanzania.
Unajua ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya upuuzi ule ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…