Waziri ananitaka kimapenzi

Joined
Feb 14, 2012
Posts
71
Reaction score
8
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
 
Taja jina lake kama unachotaka kutwambia ni kweli. Kama umeweza kutoboa kuwa anakutaka unashindwa nini kumtaja jina. Usipofanya hivyo utachukuliwa kama mtaka sifa na limbukeni na mzushi wa kawaida.
Naunga mkono hoja amwage kila kitu hapa!!!
 
so what?

Ukiona hivyo, ujue kisha kulegeza mifupa hapa hakuna unalofanya.
 
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.
 
Sifa za kijinga . Hata kwetu mpo .
 
acha utoto wewe, sasa unashitaki, naamini u r over 18 yrs old, ushauri mvulie akugonge maana ata gari keshaakupa na umechukua au unatafuta ujiko. Ache ushamba wa kingono

Mbona unamshambulia ambaye hahusiki bana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…