tracy wa NJIRO
Member
- Feb 14, 2012
- 71
- 8
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja amwage kila kitu hapa!!!Taja jina lake kama unachotaka kutwambia ni kweli. Kama umeweza kutoboa kuwa anakutaka unashindwa nini kumtaja jina. Usipofanya hivyo utachukuliwa kama mtaka sifa na limbukeni na mzushi wa kawaida.
Waziri sonyo?
acha utoto wewe, sasa unashitaki, naamini u r over 18 yrs old, ushauri mvulie akugonge maana ata gari keshaakupa na umechukua au unatafuta ujiko. Ache ushamba wa kingonolabda nyota waziri.
Pokea gari lakini usikubali mambo mengine
acha utoto wewe, sasa unashitaki, naamini u r over 18 yrs old, ushauri mvulie akugonge maana ata gari keshaakupa na umechukua au unatafuta ujiko. Ache ushamba wa kingono