Waziri ananitaka kimapenzi

Ogopa au jiandae huyo waziri anatoka Br.rafiki wa Cameron
 
 
Uhame nchi kwa ajili ya mtu asiye na maadili tuambie sisi tumuanike hadharani huyo ni mgonjwa! yawezekana mkewe anatembelea daladala!
 
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro

Tatizo ni uwaziri wake au?
 
Ina maana wewe kutongozwa ni ajabu? Una nini cha ziada?
 
JF bana! uskute pengine hajawahi kutongozwa hata na muuza nyanya tangia avunje bakuli.
 
Oya Kama vip? Mteme si umesha pata mpini wa kuzugia kuna kazi tena hapo!!
 
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.
mwanamke wa kibongo?
kugonga muhimu na gari utaishia kuambiwa iko bandarini
 
Binti yangu hapa umechemsha. Maana umeongea kitoto kiasi cha kutuacha hoi. Kwani kama alikutongoza na uamuzi ni wako sisi wazazi wako tunaingizwaje? Haya kwa mtoto wa kiafrika ni matusi yanayoweza kutafsiriwa kama umalaya. Jaribu kufikiri kabla ya kusema binti yangu usijekuitwa majina ya ajabu ajabu kama changudoa na mengine.
 
waziri c binadamu? Au mpaka utongozwe na barosharo
 
waziri c binadamu? Au mpaka utongozwe na barosharo? Usafi wako uko wapi just uamuzi2 ukiamua mpe ukiamua kataa but cha ajabu hakuna maana naye ni binadamu kama wewe vile
 
Huyo ndio alifanya upigwe kibuti siku ya valentine?
 
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro


nyooooooooooooooooooooooooooooo kwa lipi jipya ulilokuwa nalo
loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…