Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache.
Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo tunastuka matokeo ya LST, Kwa nini? Je, ni kwa sababu wanasheria ni wapiga kelele?
Je, ni kwa sababu waliofeli wengi ni vijana wadogo ambao bado wazazi wanatoa pesa; wameumizwa? Maafisa ugavi pia hivyo hivyo ingawa wao wako nafuu.
Nisichokubaliana na taasisi hizi za viwango ni kujionesha kwamba kwao ni pagumu.
Mbona mainjinia na madaktari hatusikii vilio hivi? Tena ukisha sajiliwa kama daktari huhitajiki tena kuwa mtumwa wa bodi kwa ada za kila mwaka ambazo hatujui pesa inakwenda wapi.
Kama serikali inaona tatizo, ichunguze wote wanaosajili wataalamu mbali mbali. Itakutana na mengi.
Btw. Kila kijana wa Kihindi anayefanya mitihani ya CPA anashinda kiurahisi sana!!