Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya:
Your browser is not able to play this audio.
Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu.
"Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa, zinaishia kulipia per diem na marupurupu ya kina Tiganga, Chavula, Kidando na wenzao waliopangiwa kesi ya kudumu Dar nje ya vituo vyao kazi."
Enyi serikali waoneeni imani wananchi hawa. Kwa hakika hata kuinuka kutokea kwenye Corona kwamba hata watasimama ni kudra kudra za Mola tu.
Hohehahe hawa wanao wagharimia nyie kwa yote, wangali na nini bado cha nyie kuchukua?
Watu hawalipi hizi kodi kwasababu hawaoni faida yeyote kutokana na mlundiko wa kodi zinazotozwa na hii serikali; wamebakia kutumia kodi wanazokusanya kununua maV8 basi!!!!! Inaelekea Samia hajui kinachoendelea nyuma ya mgongo wake kwani taarifa wanazompa hao wasaidizi wake sio sahihi!!!
Watu hawalipi hizi kodi kwasababu hawaoni faida yeyote kutokana na mlundiko wa kodi zinazotozwa na hii serikali; wamebakia kutumia kodi wanazokusanya kununua maV8 basi!!!!! Inaelekea Samia hajui kinachoendelea nyuma ya mgongo wake kwani taarifa wanazompa hao wasaidizi wake sio sahihi!!!
Zanzibar Mwinyi kasema serikali yake inalipa madeni yote inayodaiwa kutokea katika pesa za covid 19 kutoka imf kuwasaidia watu kusimama kutokea kwenye janga.
Huku wastaafu huwalipi. Madeni hulipi. Unaongeza kodi na tozo double double kwenye kitu kile kile.
Wanao kudai unakwenda kuwakamatia mali eti wewe unawadai kodi bila shaka ili ukawalipe Chavula, Kidando, Hilla na Tiganga kwenye kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu?!
Kulikuwa na haja CDM ikafanya ka survey ikawatambua washirika zaidi wa kweli:
1. Wahanga wa makodi haya wanaopokwa mali zao hali wengi wao au jamaa zao wanaidai serikali.
2. Kuna wanaokumbana na dhuluma za serikali za moja kwa moja: