Waziri Aweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Aweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.

NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba

View attachment 2565319

View attachment 2565320
View attachment 2565321

Tujikumbushe:

Hawa ndugu hawana mpango wa kutuacha tupumue.

"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe." --BWM.
 
Mambo kama haya wanaojitambua wanafanya siri.
Wachagga wanasema and I quote
"Wakati unakula nyama usifungue mdomo ili watu wasijue kama unakula nyama"
 
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.

NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba

View attachment 2565319

View attachment 2565320
View attachment 2565321
Hawa w3ndawazimu ndio sababu wako tayari kuchinja binadamu wenzao ili waendelee kuitafuna keki ya Taifa bila bugdha.
 
Back
Top Bottom