Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Pia TANGA UWASA Hawa jamaa Wana standards Bora Sana kwa kazi YaoMamlaka ya maji mbeya ni moja kati ya idara bora kabisa kwa nchi hii maana wako active muda wote,pongezi ziwafikie
Hili hata hayati alilisema anafanya kazi na watu wa hovyo! Maana anajaribu kupambana mambo yaende unakuta kuna mpumbavu anazingua mahali akienda anafyeka na kuweka mwengine π anayewekwa anakuwa na nidhamu ili asiondolewe anawakazia wa chini wapige kazi kweli kweli! Kazi zinaendaMama anahujumiwa kila eneo
Umemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomoMkuu mwez wa sita kuingia wa saba mara nyingi hua wanafunga mwaka, Hakuna kinachotoka hata tanesco kipind kama hiki kupata meter ni ngumu..
Kama mwez utaisha hivi hivi bas kutakua na matatzo mengne
Binafsi sijawahi ona ubora wa ile ofisi tangu nimeanza kutafuta huduma mbalimbali pale ...kuanzia kufanyiwa survey ni kero tupuuuuWa kibaha kahamishiwa Ilala .. Zonal manager
Ndugu ukienda pale Pugu, kuna mradi wa Maji unatekelezwa na watu wana unganishiwa maji kila leo mita zipo ...ina maana wao hawafanyi stock taking ? Na kumbuka DAWASA wana hudumia hata PUGUUmemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomo
Nawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa majiPia TANGA UWASA Hawa jamaa Wana standards Bora Sana kwa kazi Yao
Tanga UWASA nawakubali Sana jamaa hawa
Hoja nzuri kabisa. Hata wateja wa DAWASA wa Kibamba eneo la Mbezi,Mshikamano, Kwa Mpala na Kwa Mgalula wateja walikatiwa maji na mabomba ili waunganishwe upya kuepukana na mgao mkali.Kwa hiyo unataka kusema hata MSD hawa supply dawa ma hospitalin mwez huu kamaa wagonjwa kufa na wafe tuu
Iyo ni kitu mbaya sanaaa
Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.Kama ndio hivyo wakazi wa Moro hasa kihonda yote Hadi makunganya kule ,nane nane tubuyu Hadi kingolwira watakoma [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukiisha hayo maeneo unaweza utukana ule mji kila siku...
Kweli mzee TANGA UWASA jamaa wako Makini SanaNawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa maji...
Hawana malengo .Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote.....unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.....
Ndo maana morogoro typhoid haiwezi kuisha dawa ni kuhamisha kabisa hao watendaji, unaweza kuta kuna watendaji wameshajifanya miungu watu. Kama siyo wenyeji wameshajikita kwenye biashara ya maji kiasi kwamba wanawabana watendaji wasifanye intervention ya maana.Hawana malengo .
Malengo Yao kujinufaisha tu...