Mpepetaji JF-Expert Member Joined Mar 25, 2025 Posts 346 Reaction score 213 May 8, 2025 #1 Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026. Waziri Aweso amesema upatikanaji wa vjijini kwa Sasa ni asilimia 83 ikilinganishwa na asilimia 76 miaka kadhaa iliyopita. Waziri Aweso amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha zaidi ya asilimia 85 ya wananchi wa vijijini wanapata maji safi na salama. Kwa upande wa mijini upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 91.6 lengo likiwa ni kufikia asilimia 95
Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026. Waziri Aweso amesema upatikanaji wa vjijini kwa Sasa ni asilimia 83 ikilinganishwa na asilimia 76 miaka kadhaa iliyopita. Waziri Aweso amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha zaidi ya asilimia 85 ya wananchi wa vijijini wanapata maji safi na salama. Kwa upande wa mijini upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 91.6 lengo likiwa ni kufikia asilimia 95
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 May 8, 2025 #3 Waishukuru Jumuia ya Ulaya kwa pesa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 8, 2025 #5 Nice
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 8, 2025 #6 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 May 8, 2025 #7 Nyie wakazi wa bonyokwa mpiji magoe makabe msakuzi nk Mna maji huko Ova