simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Unanuka ubaguzi hadi imebidi tuzibe pua.Msomali atuletee maendeleo serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanuka ubaguzi hadi imebidi tuzibe pua.Msomali atuletee maendeleo serious?
Kwahiyo siyo Msomali?Unanuka ubaguzi hadi imebidi tuzibe pua.
Sikuelewi, Bashe siyo Mtanzania?Kwahiyo siyo Msomali?
Toka Kinana na Bashe wakamate nchi umesikia wahamiaji haramu kutoka Somalia wamekamatwa?
Chuki binafsi na ubaguzi wako utafikiri una hati miliki na nchi havitakufikisha popote. Link hiyo hapo wamekamatwa mwezi uliopita
Uko wa nani?Sikuelewi, Bashe siyo Mtanzania?
Fungua hiyo video acha kubwabwaja, ni wa somalia. Pia utuwekee trend ya kukamatwa kwao ilivyokuwa kabla ya hao unaowataja hawajapata hizo nyadhifa walizonazo sasa.Acha uongo hao ni waethiopia
Tulia sio mheshimiwabunge hili la mh:Tulia
Sina bandoFungua hiyo video acha kubwabwaja, ni wa somalia. Pia utuwekee trend ya kukamatwa kwao ilivyokuwa kabla ya hao unaowataja hawajapata hizo nyadhifa walizonazo sasa.
Toa ushahidi wa maongezi ya kisukuma tafadhaliSukuma gang kila wakifurukuta wanakutana na kitu kizito! Mpina I am sorry I have to go personal to you
wewe wakati ukiwa naibu waziri wa Makamba katika ofisi ya makamu wa rais unakumbuka ulivyomtesa makamba? Kila siku unaongea kisukuma na yule mwendazake ukimchonganisha makamba? Mpina!! unakumbuka siku ulipoiba file lilikuwa linafanyiwa kazi bado kwa ajili ya ile NGO ya huko Kilwa? Uliliiba ukakimbia nalo hadi ikulu na kumhadaa JPM kuwa kulikuwa na mbinu za kuimport silaha kutoka lebanon?!!! Hadi leo hii wale wa ile NGO sijui mateso waliyopewa pale ikulu walipona wangapi. Ni wafanyakazi wangapi wa ofisi ya makamu wa rais walifukuzwa na kusimamishwa kazi na kuteswa kwa ajili ya uchonganishi wako!?? Mpina it is your payback time wait!!!
Wanafiki Hao sukuma gang ni kuwasanua hivyo hivyo,stupid zaoDodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma.
Mpina wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 bungeni leo Jumatano Mei 18, 2022 amesema bei ya mbolea imeanza kupanda kabla ya vita vya Ukraine na Russia.
Akichangia makadirio hayo, Mpina alisema bei za mbolea zilianza kupanda baada ya Serikali kuondoa utaratibu wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja ili kufanikisha njama za wafanyabiashara wachache waliokuwa wamepanga kuja kuwaongezea wakulima bei za mbolea.
Amesema bei za mbolea zilianza kupanda kwa kasi baada ya Serikali kuondoa mfumo huo mwaka 2021 na wala si baada ya vita ya Ukraine na Russia.
Akijibu hoja za wabunge, Bashe amesema ni hatari kwa mtu ambaye amekuwa waziri, naibu waziri na mbunge wa muda mrefu kusimamia bungeni na kutoa mada ambayo inapotosha umma.
Amesema bei ya mbolea duniani si jambo la kuficha ni kama bidhaa nyingine hata ukigoogle unapata bei za mbolea duniani.
Amesema Machi mwaka 2018 mbolea aina ya DP ilikuwa ni Dola za Marekani 549 lakini hivi sasa ni Dola za Marekani 948.
Amesema mbolea ya Urea iliyokuwa ikiuzwa Dola za Marekani 134 sasa hivi ni Dola za Marekani 723.
“Hili sio jambo la siri halifichwi liko wazi. Kama ana source (chanzo ya kuleta) ya kuleta mbolea nchini kwa bei ya rahisi amletee atasaini kwa ajili ya kuleta tani zote 400,000,”amesema.
Amesema wasipotoa ruzuku ya mbolea watakuwa wanawaonea, kuwaumiza na hawawatendei haki wakulima bali wanawaumiza.
“Tutakuwa hatutakii Taifa letu uhai, tusifanye siasa kwenye mambo hatari, hiii siasa ndio imeua kitalu cha pamba katika jimbo lale (Kisesa),”amesema.
Amesema kuwa Serikali inafufua Kampuni ya Mbolea Nchini (TFC) na imeipatia Sh6 bilioni kwa ajili ya kwenda kununua mbolea nje ya nchi na kushindana na waagizaji wengine wa mbolea.
Sasa hio ni hoja au kioja? Kwani yeye hajui kwamba Dunia nzima bei zilianza kupanda mwaka 2021 mwanzoni kabisa?Ndilo tatizo tulilo nalo, hatujibu hoja bali tunamjadili mtoa hoja.
Alichotakiwa kujibu kwanini bei ilianza kupanda toka june mwaka 2021 na sio kuleta mipasho.
Ujinga mtupuSukuma gang kila wakifurukuta wanakutana na kitu kizito! Mpina I am sorry I have to go personal to you
wewe wakati ukiwa naibu waziri wa Makamba katika ofisi ya makamu wa rais unakumbuka ulivyomtesa makamba? Kila siku unaongea kisukuma na yule mwendazake ukimchonganisha makamba? Mpina!! unakumbuka siku ulipoiba file lilikuwa linafanyiwa kazi bado kwa ajili ya ile NGO ya huko Kilwa? Uliliiba ukakimbia nalo hadi ikulu na kumhadaa JPM kuwa kulikuwa na mbinu za kuimport silaha kutoka lebanon?!!! Hadi leo hii wale wa ile NGO sijui mateso waliyopewa pale ikulu walipona wangapi. Ni wafanyakazi wangapi wa ofisi ya makamu wa rais walifukuzwa na kusimamishwa kazi na kuteswa kwa ajili ya uchonganishi wako!?? Mpina it is your payback time wait!!!
Mkuu cha ajabu wakati Bashe anakula matapishi yake ,baadhi ya wabunge wameshangilia na kugonga meza .Alichokisema mpina ndio alichosema bashe miezi miwili nyuma. Bashe mwenyewe mara kadhaa amekiri Bei kuongezwa kiholela Ila hajachukua hatua
View attachment 2230315
we unaudhibitisho wa haya unayoandika hapa , ushahidi wa kitabibu, kama huna tutakutafuta ulipe fidia mahakami kwa kumchafua MH mbunge ....nchi hii ni ngumu saana ukisema jambo jema kwa maslahi mapana ya Taifa watakusema kwa majina mabaya ...just because umekusa maslahi ya genge flani la wahuni ....Mpina ni tapeli, halafu ana ugonjwa wa akili, kuna wakati anakuwaga kama kichaa, unaweza kumkuta barabarani anaongea peke yake, nashangaa CCM bado wanampa ubunge, huo ni mtambo kitambo sana, hata mwendazake alisema Mpina ana ugonjwa wa kichaa