Waziri Bashe amkosoa Mpina, amtaka alete kampuni inayouza mbolea kwa bei rahisi

Toka Kinana na Bashe wakamate nchi umesikia wahamiaji haramu kutoka Somalia wamekamatwa?

Chuki binafsi na ubaguzi wako utafikiri una hati miliki na nchi havitakufikisha popote. Link hiyo hapo wamekamatwa mwezi uliopita

 
Toa ushahidi wa maongezi ya kisukuma tafadhali
 
Wanafiki Hao sukuma gang ni kuwasanua hivyo hivyo,stupid zao
 
Ndilo tatizo tulilo nalo, hatujibu hoja bali tunamjadili mtoa hoja.
Alichotakiwa kujibu kwanini bei ilianza kupanda toka june mwaka 2021 na sio kuleta mipasho.
Sasa hio ni hoja au kioja? Kwani yeye hajui kwamba Dunia nzima bei zilianza kupanda mwaka 2021 mwanzoni kabisa?
 
Wabunge wengi ni weupe vichwani! Kwanini wasipime hoja za wawili hao!?
Mbolea ni commodity yenye Cartel ya hatari sana!
Wabunge wameshasau au hawajui juzi hapa Bashe amefanya kikao na wahindi waagiza Mbolea na kuwaamuru warudishe pesa walizowarangua wakulima! Clip hiyo iko online mwenye nayo aiweke hapa.
Mpina yuko sawa, kuna upigaji mkubwa sana kwenye Mbolea na wala hakuna anayepinga bei kupanda duniani.
 
A
Ujinga mtupu
 
Mh. Mpina anaonekana ana kitu kinamtesa sana moyoni kama sio kichwani...apewe msaada wa kisaikolojia badala ya kubezwa na kupuuzwa...
 
Alichokisema mpina ndio alichosema bashe miezi miwili nyuma. Bashe mwenyewe mara kadhaa amekiri Bei kuongezwa kiholela Ila hajachukua hatua
View attachment 2230315
Mkuu cha ajabu wakati Bashe anakula matapishi yake ,baadhi ya wabunge wameshangilia na kugonga meza .

Nchi hii ukisema ukweli unakuwa adui (LUHAGA)

Bashe lazima hiyo tweet yake anaifuta muda si mrefu
 
Mpina ana hoja ila kashindwa kuzipangilia na kuzielezea vizuri.

Ukimsikiliza vizuri kuna kitu anasema.
 
Mpina ni tapeli, halafu ana ugonjwa wa akili, kuna wakati anakuwaga kama kichaa, unaweza kumkuta barabarani anaongea peke yake, nashangaa CCM bado wanampa ubunge, huo ni mtambo kitambo sana, hata mwendazake alisema Mpina ana ugonjwa wa kichaa
we unaudhibitisho wa haya unayoandika hapa , ushahidi wa kitabibu, kama huna tutakutafuta ulipe fidia mahakami kwa kumchafua MH mbunge ....nchi hii ni ngumu saana ukisema jambo jema kwa maslahi mapana ya Taifa watakusema kwa majina mabaya ...just because umekusa maslahi ya genge flani la wahuni ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…