Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini