Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Feb 6, 2023 #1 Your browser is not able to display this video. BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
Your browser is not able to display this video. BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
Da Lu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,840 Feb 6, 2023 #2 March mbali basi bado siku 22 tu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 6, 2023 #3 Mvua zitakuwa zimeshamiri, masika nchi nzima. Hicho chakula cha bei chee kitatoka kwenye shamba la nani?
Mvua zitakuwa zimeshamiri, masika nchi nzima. Hicho chakula cha bei chee kitatoka kwenye shamba la nani?