Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

bwana ee hata tukipata njaa sijui ukame msaada tuombe mbali kwote huko kwanini tutaomba hata misri bwana, juzi tu tumesikia tumezalisha chakula cha kutosha leo tunapokea msaada wana agenda ya siri hao watoto wetu wasije wakaanza kunenepeshwa makalio sitaki mchele mchele virutubisho wale wenyewe.
 
Watanzania wanakataa msaada wa msosi kwa hofu huku dawa kutoka huko wakizifakamia, kuna mapombe ya vichupa wanakunywa na wala hawana hofu na pombe hizo
 
Nyie upinde mnakera sana 😁😁
 
yaani wanatuletea mchele wa mchongo wenye virutubisho wanarutubisha nini makalio au yaani huo mchele unakula bila mboga bila maharage au nyama vipi hawa nyau nakuita vyombo vya habari juu wakati sisi tunao kule kyela weeee tulishe huo mchele mbuzi kama mbuzi hawajaanza michezo michafu hawa jamaa wanatuona sisi wakutufanyia majaribia 2024 hii kweli aa weeee
 
Kwa hili Bashe nampa pongezi kama waziri wa kilimo, wapeleke Congo, na Palestina kuna njaa wasitufanye kama dumper
Vingapi mnapokea kutoka marekani? Acheni dharau,TBS si ipo, unakataa mchele unapokea machanjo na madawa kibao....☹️
 
Wanaoshadadia wote Kwamba Msaada wa Mchele ungepokelewa ni Wapumbavu. Mna Agenda ya Siri kuhusu huo Msaada Wenu, bahati Nzuri Msomali Kawagundua!!! Halafu NGO Yenyewe ndo zile NGO zilizokuwa kwenye List ya Mwakyembe.
Unaeshadadia na kuwaabudu hao Wamarekani Wako ni Bora ungeenda huko huko!! Mchele tunao Mwingiii wa kutoshaaaaaaa
 
Nadhani ni vizuri wahisani wakauliza tatizo tulilonalo ndio watusaidie hilo.Labda sisi tunashida ya pembejeo za kilomo siyo mchele.
 
Vingapi mnapokea kutoka marekani? Acheni dharau,TBS si ipo, unakataa mchele unapokea machanjo na madawa kibao....☹️
You have a point,there is nothing good from America,ila huu mchele nao inabidi tuukatae.
 
Kuna sehemu nimeona hyo enjioo kumbe imeshakuwepo ina miaka 10karibia na mchele watt washakula sana tuu...
 
Mchele umezua balaaa....
Tutauchukia sasa kuula usiku na uporo asubui...
 
Mchele umezua balaaa....
Tutauchukia sasa kuula usiku na uporo asubui...
Huo mchele ni maalum kwa shule zenye uhitaji wa lishe za ziada. Wewe bado unasoma shule? Hata mchele wa Mbeya kilo moja 3600 utakuta huna hela ya kununua
 
Ni kweli kabisa angeongea na watu wa TBS wakaupima mchele hata usiku wa manane na asubuhi wakatoa taarifa.

Mchele tayari upo kwenye "food chain" watu washapiga beche na Shaba sie twazungumzia matokeo.
 
Kwa sababu Bashe ameukataa ndio unaamini kuwa wamarekani hawakuombwa msaada huo? Huo msaada umepitaje kote huko bila ushiriki wa serikali? Una uhakika gani kuwa serikali yako haikuomba kujumuishwa katika hiyo program ya serikali ya Marekani?

Tunatoa watu ubavu wa kumtukana mtu anayetusaidia chakula wakati watoto wetu wengi hata mlo mmoja ni shida?

Tutamlaumu nani kama siku nyingine tukipeleka bakuli kwa mMarekani akituambia anasaidia kwanza nchi nyingine zenye shida kuliko sisi kama Haiti n.k.

Serikali inatakiwa itoe tamko kuikana kauli ya waziri wake. Na waziri akanywe kuwa yeye sio msemaji wa serikali kwenye mahusiano na nchi nyingine. Kiburi tu kimemjaa. Hafai kushika nafasi hiyo.

Amandla...
 
Huo mchele tuupokee na sisi tutoe msaada kule gaza palestina wanakufa njaa wezetu
 
Nilitegemea mahindi kuingizwa Tanzania lazima yapate kibali toka wizara ya Kilimo ys Tz ili "kuzuia magonjwa au mahindi ya GMO". Sasa kama mahindi haya yameingizwa kimya kimya bila kufuata taratibu- Waziri wa Kilimo ana haki ya kukasirika, hii inaitwa "product dumping ". Athari kubwa ni kupunguza bei ya mahindi kwa wakulima wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…