Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Covid Vaccine mlikagua?Tatizo umeingizwa kinyemela ukakaguliwa kienyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Covid Vaccine mlikagua?Tatizo umeingizwa kinyemela ukakaguliwa kienyeji
Misaada ambayo wananchi wa Gaza wamepokea ni therusi tu ya mahitaji yanayotakiwa. Wangepeleka huko kwanza. Hakuna jamii inayohitaji misaada Duniani Kwa Sasa kama Gaza, ikifuatiwa na Haiti, sudani pamoja na Afghanistan.Wameshapeleka
Kama sijakuomba Nina hiari ya kupokea au kukataaTukatae Kwa hoja na tuwe na sababu madhubuti ya kukataa.
Daaaah!! ualimu ni kazi ngumu mno.Na nyinyi mnatupangiaje kukubali huo misaada?
Hivi mtu mwenye akili timamu atapokeaje huo msaada wa bila kuomba wakati Kuna nchi wanahitaji msaada hawapewi? Kuna Sudan, Ethiopia, DR Congo, Palestine, hujiulizi NI kwa wema gani? Ati unalishe. Nina imani chakula tunacho kingi tu na kikikosekana huwa hatuombi serikali inanunua nje, ilianza mafuta ya kipikia na Sasa sukariKwa hiyo tukatae bila sababu? Kwa hiyo tukikumbwa na baa la njaa na ukahitajika msaada wa dharula , Marekani ikawa tayari mtagoma au mtakubali? Wengi nayaona mashaka waliyonayo ni juu ya usalama na sio nia na dhamira ya msaada huo
Ukishiba kaa kimyaMisaada ambayo wananchi wa Gaza wamepokea ni therusi tu ya mahitaji yanayotakiwa. Wangepeleka huko kwanza. Hakuna jamii inayohitaji misaada Duniani Kwa Sasa kama Gaza, ikifuatiwa na Haiti, sudani pamoja na Afghanistan.
Ukishiba kaa kimyMisaada ambayo wananchi wa Gaza wamepokea ni therusi tu ya mahitaji yanayotakiwa. Wangepeleka huko kwanza. Hakuna jamii inayohitaji misaada Duniani Kwa Sasa kama Gaza, ikifuatiwa na Haiti, sudani pamoja na Afghanistan.
Watoto wanashinda njaa mashuleni sasa wanapewa japo upao wa wali tayari mshaanza gwe gwe gwe, hii misaada haijaanza leo, wakati wa mwalimu kuna meli wa msosi iliitwa dezo watu waligawiwa nchi nzima kupunguza utapiamlo, wakati wa mwinyi kuna uji uliitwa bulga, kwa kilimo chenu cha jembe la mkono utamlisha nani tusidanganyane acheni watoto wapewe menu wapige kitabu,Hivi mtu mwenye akili timamu atapokeaje huo msaada wa bila kuomba wakati Kuna nchi wanahitaji msaada hawapewi? Kuna Sudan, Ethiopia, DR Congo, Palestine, hujiulizi NI kwa wema gani? Ati unalishe. Nina imani chakula tunacho kingi tu na kikikosekana huwa hatuombi serikali inanunua nje, ilianza mafuta ya kipikia na Sasa sukari
Gaza wanahitaji risasi drone na magurunet, risasi zinarindima utapikajeMisaada ambayo wananchi wa Gaza wamepokea ni therusi tu ya mahitaji yanayotakiwa. Wangepeleka huko kwanza. Hakuna jamii inayohitaji misaada Duniani Kwa Sasa kama Gaza, ikifuatiwa na Haiti, sudani pamoja na Afghanistan.
utoke wapi? Kwa hili jembe la mkono? Tumepeleka vijana bbt israel wamepigwa risasi, hawa wa bihawana wameishia kulima matikiti na nyanyachunguBashe apewe hizo shule 300 ahakikishe zinapata mchele na maharage anavyosema vipo tele.
Bashe kakurupuka, hili ni la waziri wa elimu bashe halimhusu, hatujaletewa mbegu wala huu wali hauuzwi supermarket unapelekwa mashuleniKama ni hivyo wahisani waongeze nguvu maana shule nyingi Bongo bado hio kitu ni anasa.
Otherwise tuongeze nguvu na mikakati ya kuongeza tija shambani kwetu wenyewe.
Mh. Bashe amehisi kama amekuwa ameshambuliwa kwa mgongo (attacked indirectly) kwa hio amelinda mamlaka yake.
Yote kwa yote Bashe ana kazi ngumu mno kuliko mawaziri wengi sana.
KILIMO NI SIASA.
1. Juzi SUKARI
2. Leo MCHELE
3. Kesho mshangao !!!!!
Israel anapigana na HAMAS na siyo raia wa Palestine. Madhara makubwa wanapata wananchi ambao kutokana na vita wanashindwa kutulia na kufanya shughuri za kuwaingizia vipato, kutokana na Hilo wananchi hasa watoto wanakosa kupata chakula na kupelekea utapiamlo wa kiwango Cha juu. Ni Bora uo Mchele wangepeleka huko.Gaza wanahitaji risasi drone na magurunet, risasi zinarindima utapikaje
Mkuu hao wanakula mikate sio kande za mahindiIsrael anapigana na HAMAS na siyo raia wa Palestine. Madhara makubwa wanapata wananchi ambao kutokana na vita wanashindwa kutulia na kufanya shughuri za kuwaingizia vipato, kutokana na Hilo wananchi hasa watoto wanakosa kupata chakula na kupelekea utapiamlo wa kiwango Cha juu. Ni Bora uo Mchele wangepeleka huko.
Ufanye ngono zembe na mkeo Kisha utegemee chakula Cha msaada mwanao akale shuleni... Huo msaada wewe utalipa nini..Ukishiba kaa kimy
Watoto wanashinda njaa mashuleni sasa wanapewa japo upao wa wali tayari mshaanza gwe gwe gwe, hii misaada haijaanza leo, wakati wa mwalimu kuna meli wa msosi iliitwa dezo watu waligawiwa nchi nzima kupunguza utapiamlo, wakati wa mwinyi kuna uji uliitwa bulga, kwa kilimo chenu cha jembe la mkono utamlisha nani tusidanganyane acheni watoto wapewe menu wapige kitabu,
Brother kwenye vita watakula tu😂Mkuu hao wanakula mikate sio kande za mahindi
Ati kilimo cha mkono [emoji3][emoji3] mkiangalia TV NI mpira au kumi bora za wiki, hivi Kuna mkuu wa nchi atakuja kujifunza kilimo cha mkono Tanzania niishie hapo maana siishi kwa kukaririUkishiba kaa kimy
Watoto wanashinda njaa mashuleni sasa wanapewa japo upao wa wali tayari mshaanza gwe gwe gwe, hii misaada haijaanza leo, wakati wa mwalimu kuna meli wa msosi iliitwa dezo watu waligawiwa nchi nzima kupunguza utapiamlo, wakati wa mwinyi kuna uji uliitwa bulga, kwa kilimo chenu cha jembe la mkono utamlisha nani tusidanganyane acheni watoto wapewe menu wapige kitabu,
Hata kwenue bwawa la nyerere mlisema hamna maji ya kujaza bwawa, mashine moja kati ya nane mgao kwisha, wacheni watoto wapate chakula,Ufanye ngono zembe na mkeo Kisha utegemee chakula Cha msaada mwanao akale shuleni... Huo msaada wewe utalipa nini..
Hakuna chakula Wala elimu ya Bure ila ujinga tu ni WA bure
Daaaah, kweli kilimo cha BONGO kinahitaji mabadiliko.Bashe kakurupuka, hili ni la waziri wa elimu bashe halimhusu, hatujaletewa mbegu wala huu wali hauuzwi supermarket unapelekwa mashuleni
Sukari hawagawi mashuleni itauzwa madukani hilo linamhusuDaaaah, kweli kilimo cha BONGO kinahitaji mabadiliko.
Kwamba hawajaleta mbegu , wameleta mchele.
Ila lile la SUKARI ndio lilimuhusu sio ? Kwa kuwa SUKARI ni mbegu, ama ??
Michadema haiwezi kukuelewaHivi lini tutajitambua? kwani msaada lazima uupokee, kwanini wasituletee msaada wa technology ya kilimo cha umwagiliaji kama kweli wanatupenda?