Tetesi: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana

msimseme bashe kwa sababu tu kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali na bashe ni msomali wa kitanzania pia. hilo ni kabila tu, ila ni wenzetu.
 
Amfuate kwenda wapi? Mogadishu?
 
Mh.waziri husein bashe hajiuzuru ataendelea kupiga kazi Kama kawaida huyo mpina atuondolee ujinga wake huo
 
Na hapo ni wasomali wawili tu, je siku wakifika 15 au 20 si tutauzwa tukijiona
 
Ni Bora awajibike kujiudhuru, Ili asiendelee kukitia aibu chama chake, kutokana na hii kashfa kubwa ya ufisadi
Chama kidumu hakijawahi kuwa kisafi sii tu kwenye utumishi wake kwa taifa hata chaguzini.
 
Taarifa zisizoaminika zinasema kuwa Nape atakuwa katibu Mkuu wa CCM na Januari atakuwa makamu mwenyekiti wa CCM. Nchimbi anarudishwa ubalozini kwenda kujaza nafasi iyoachwa wazi na Thabit Kombo. Habari hizi ni za kutunga tu lakini zina uhakika japo haziaminiki
 
Mjomba ACHA utani ugali mtamu kuuachia kibongo bongo siyo swala jepesi
 
Ebu ngoja tuone
 

Attachments

  • JamiiForums-1335525996.jpeg
    67.4 KB · Views: 2
Ok sawa. Ebu fuatilia na habari za Mwigulu
 
Watu wa bara ngumu kujiuzulu tuna uchu na uroho wa kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…