Tetesi: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana

Ndio maana wenye magazeti naona wanachekelea huku mtaani, kweli Raisi wetu anapewa wakati mgumu Sana na wasaidizi wake
 
Sukari ilishaikishwa elfu kumi kilo, Bashe kuirudisha bei ya kawaida na kuendelea kuishusha bei ndiyo kosa lake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wewe ndiye inawezekana ulienda kusomea ujinga, kama unatetea kilichotokea kwenye hili sakata la sukari.
 
Ajiuzulu fasta huyu kabla hajavikwa makopo shingoni.😏😎
 
Kama lowasa aliachia uwaziri mkuu baada ya kubanwa kila Kona . Bashe ni nani? Asijuzulu
 
porojo, si rahisi kwa wafu sisi
 
Mungu ibariki Tanzania
Kinana ni team Mkwere na Bashe sio kampani yao. Bashe ni team Lowassa, Nchimbi, Rostam.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…