Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo.
Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila kujua uzee wake unaweza kuwa majuto sio marehemu majuto unaweza kupelekea kujuta haya.
Malawi walishaona udhaifu wetu kuanzia usalama na hatima zetu ila ubishi wenu wa kujua CCM iliweza kufika Uganda mnaona sasa inaweza kufika Malawi.
Ili linaloendelea nimekuwa nikifatilia sana japo sio mzuri kueleza serikali ya CCM imeshindwa kesi nyingi na kulipa mafidia japo mnatumia nguvu nyingi kunyamazisha.
Kwa sasa waziri bashe kaa chini unayemfurahisha yeye ana bahari kwenye kisiwa chake.