Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117

Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri?

hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni,

haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
 
Kwani zimetoka wapi ?, Mfuko gani ?

Pili squad ina wachezaji wangapi? Unaweza ukakuta hio pesa kwa waliotoka zao nje ni pesa ya mboga..., Yaani sio Big Deal.

Tatu leo wameliingizia ngapi Taifa ?

Nikipata hayo majibu ndio tajua kama ni ufujaji au lah !!! Kwangu mimi ufujaji ni mishahara yao hawa mabwana wanayojipa (wabunge, mawaziri n.k.) bila sisi kama walipa kodi kupata value for money
 
Huyu dogo bomu. Alipata uwaziri kwa kumsujudia mwendazake vinginevyo hafai kuwa hata mkuu wa kata.
 
Kwani zimetoka wapi ?, Mfuko gani ?

Pili squad ina wachezaji wangapi? Unaweza ukakuta hio pesa kwa waliotoka zao nje ni pesa ya mboga..., Yaani sio Big Deal.

Tatu leo wameliingizia ngapi Taifa ?
hawajaingiza hata hamsini mbovu
 
Anawatia moyo wasonge mbele jamani
 
Duh.. Acha nyivu mkuu
 
hebu acha akili ya kimasikini bhana...milioni 10 ni fedha ya kawaida sana kupewa timu ya taifa tena iliyo shinda mchezo, sio kila kitu cha kulalamika vingine potezea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…