Yes ndio kawaida ya wanasiasa uchaguzi ukikaribia.Mbona hiyo kawaida....Trump ameinekana majuzi anahudumia wateja WA chips kwenye mgahawa wa MCDonald
Mtaa gani huo umepangiliwa vizuri kiasi hichoWakuu,
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet.
Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi watanzania wanyonge ndio wakoje hao?Wakuu,
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet.
Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
HatariYes ndio kawaida ya wanasiasa uchaguzi ukikaribia.
Huyu Bashungwa atueleze kilichomla yule mpinzani wake wa 2020! Yule mkurugenzi wa NGO fulani ya wakulima! BASHUNGWA damu ya yule jamaa itakutafuna tu!Mbona hiyo kawaida....Trump ameinekana majuzi anahudumia wateja WA chips kwenye mgahawa wa MCDonald
Hilo jina kuna wajinga wanaona fahari wakiitwa hivyo,liliasisiwa na yule mpenda sifa ambaye alijifanya eti yeye ndiye mtetezi wao wakati lenyewe lilikuwa jizi na katili dhidi ya wanyonge.Hivi watanzania wanyonge ndio wakoje hao?
Inawezekana naishi nao ila sijui kuwa niwanyonge!