Pre GE2025 Waziri Bashungwa atuonesha vile anavyoishi nje uwaziri akiwa na mabosi zake wapiga kura. Muvi la Uchaguzi Mkuu 2025 liendelee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbona hiyo kawaida....Trump ameinekana majuzi anahudumia wateja WA chips kwenye mgahawa wa MCDonald
 
Hivi watanzania wanyonge ndio wakoje hao?
Inawezekana naishi nao ila sijui kuwa niwanyonge!
 
Huyu Bashungwa atueleze kilichomla yule mpinzani wake wa 2020! Yule mkurugenzi wa NGO fulani ya wakulima! BASHUNGWA damu ya yule jamaa itakutafuna tu!
 
Ila hizi harakati za uchaguzi huwafanya viongozi waonekane kama Wamepagawa 🤣🤣🤣
 
Hivi watanzania wanyonge ndio wakoje hao?
Inawezekana naishi nao ila sijui kuwa niwanyonge!
Hilo jina kuna wajinga wanaona fahari wakiitwa hivyo,liliasisiwa na yule mpenda sifa ambaye alijifanya eti yeye ndiye mtetezi wao wakati lenyewe lilikuwa jizi na katili dhidi ya wanyonge.
 
Back
Top Bottom