Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet
.
Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet
.Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025