Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani kwetu sihaipo,na tumeikataa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwetu sihaipo,na tumeikataa.
Kungali mapema mno.Huyo wakwanza amekata tamaa,povu la mapambio limeisha.
Siku nyingine soma Kwanza habari yote uielewe,mtoa mada hakuna sehemu ambayo amesema waziri ajiuziruSijasoma yote Ila mtu hata miezi miwili hana ajiuzulu? Kisa?
Hivi huyo uliyemtaja hapo (wa kwanza) kishapata uteuzi popote?
Kateuliwa kimya kimya kufanya kazi maalum, ambayo ndiyo huenda inamfanya asionekane huku akijaza magazeti (makala zake ndefu zisizo na mwelekeo) humu?
Hivi huyo jamaa hana polisi, mbona anasumbuliwa hivyo?Hata Rais wa Marekani Bw. Trump amefungiwa kwenye socia media zote!! Sasa sijui nao huko maulaya wana laana???
Hivi wewe uliyesoma habari yote, hukusoma kichwa cha mada kinasemaje?Siku nyingine soma Kwanza habari yote uielewe,mtoa mada hakuna sehemu ambayo amesema waziri ajiuziru