Waziri Bashungwa, tunaomba kujua upana wa barabara toka Mabanda ya papa, Tanga mpaka Pangani

Waziri Bashungwa, tunaomba kujua upana wa barabara toka Mabanda ya papa, Tanga mpaka Pangani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Kumekuwa na mkanganyiko wa upana wa barabara kutoka Mabanda ya Papa , Tanga Mjini kwenda Pangani particularly kipande cha kutoka Mabanda ta papa - Usalama- Comercial- Mwembe Duga- Mwakidira-Mwahako Darajani.

2. Mwanzoni mara ya kwanza walibomolea watu wakapisha upanuzi wa barabara inayojengwa na wachina.

3. Wakarudi mara ya pili wakabomoa tena

HAKUNA ALIYELIPWA KWA SABABU YA KUJENGA KWENYE HIFADHI YA BARABARA (kama kuna waliolipwa hawazidi 20 kati ya watu approx 300 waliodai kulipwa). Watu wakaamini kuwa sasa mwisho wa barabara ni hapo na hivyo vipande vya ardhi yao vilivyokuwa vimebaki wakajenga kujisitiri.

4. Mara ya tatu TANROADS wakaja kubomoa tena wananchi wakalalamika, TANROADS wakaondoka kwa ahadi kuwa wakati ukifika watakuja kubomoa tena.

OMBI: WAKAZI WALIO KANDOKANDO YA BARABARA WANAOMBA KUJUA UPANA WA BARABARA NI UPI ILI WAWEZE KUJANGE BILA HOFU YA KUBOMOLEWA. SASA HIVI HAWAWEZI KUFANYA MAENDELEZO YOYOTE KUOGOPA KUBOMOLEWA

cc: Ummy Mwalimu, hawa ni wapiga kuwa wako. Waeleze ukweli na usiwafiche. Waambie wajue ukweli waweze kufanya maendelezo ya visehemu vyao vilivyobaki kwa mani. Hizo zitakuwa kura zako maana UMEWAWEKA HURU NA UKWELI
 
Back
Top Bottom