ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania
Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na wasiojulikana
Leo Uhamiaji wapo wanakutia doa na upo kimya
Wanagawa uraia ambao unatuacha gizani sisi tunaojielewa na kuona ni Nia ovu dhidi yako
Nakuomba Kwa mamlaka uliyo nayo mwajibishe Kamishna wa Uhamiaji na maafisa waliohusika
Hapa Kizimkazi atakuja ajifanye amekasirika na kuwatimua Kamishna wa Uhamiaji na hao maafisa wakubwa wa Uhamiaji
Pia muda siku siyo nyinyi na wewe utatambuliwa na kukaa bench, hiyo itakumaliza kisiasa kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktober 2025, wananchi wa Karagwe hawatakuchagus