Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

una haraka ya kwenda wapi, kwanini usitulie ukaandika kitu kinaeleweka?
 
Hili sakata la mafuta tangia lianze mpaka kukamatwa kwa wakurugenzi ni upande wa wauzaji tu ndio wanalaumiwa.

Kwanini waandishi wa habari awaendi kuzungumza na suppliers kujua changamoto walizonazo na wao.

Ukishapata argument za pande mbili ndio uitimishe nani ni tatizo. Taasisi za serikali zinatabia za kutoka lawama kwa wafanyabiashara ata pale ambapo wao wanapokuwa source of the problem.

Tujizoeshe utamaduni wa kushutumu au kuhitimisha vitu based on evidence/arguments presented by both sides.
 
https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2020/06/AGIZO-KWA-VITUO-VYA-MAFUTA.pdf

Nikisoma tu hiyo report ya EWURA kwenye ku control supply naona kuna tatizo hakuna exact inventory za litres ambazo wauzaji wanatakiwa kuwa nazo ambazo wakifikisha lazima wanunue kuhakikisha awaishiwi stock based on ‘lead time’ ya kuagiza. Similary suppliers wa jumla sidhani kama na wao wamewekewa same conditions.

Waandishi wahabari inabidi wawe wachunguzi kuelewa kiini cha tatizo kwenye sector, uwezi kuhitimisha kirahisi tu kama eti mafuta yameshuka bei na wauzaji lazima washushe it doesn’t work that way throughout the supply chain.

Refiniries wananunua stock kubwa na wao for inventory purposes. Crude stock ya mwezi uliopita inaweza safishwa a month later kwa ivyo itauzwa kwa bei iliyonunuliwa sasa wewe kesho ukiona mafuta yameshuka kutoka kwa wazalishaji wa crude inabidi ujue hadi bei mpya ifike sokoni inaweza kuchukua miezi miwili, na itashuka vipi inategemea kampuni ina record stock zake based on Average Costing or FI-FO.

There is a lot to weigh in zaidi ya kulaumu tu wauzaji kirahisi inabidi ufahamu wananunua wapi ujue bei ya hiyo crude na refiniring cost. Hili jambo ni muhimu refined oil kutoka India ni bei che kushinda nchi nyingi kwa sababu refiniries zao ni modern na zinatoa mafuta mengi kwenye crude.

Nchi kama UK waulize BP, Shell na makampuni mengine ya mafuta wamepitwaje idadi ya vituo vya mafuta na supermarkets kama TESCO; jibu India refined oil is very cheap.

Waandishi wahabari inabidi wawe investigative kujua tatizo ni nini haswa sio kulaumu tu je chanzo ni poor supply/inventory management, prices control mechanism ya EWURA, poor regulatory supervision guidelines or what exactly is the problem.
 
kwani mafuta yana muhusu waziri wa viwanda na biashara ama nishati na madini?
 
Hao wauza mafuta wanachokitafuta watapata.
 
Kuna hujuma kwenye mafuta. Nimetembea vituo kibao hakuna mafuta nimekuja kupata Boko magengeni.
Mkuu jenga Sheri tu ukalete mafuta..maana wakulima wa Mahindi walipewa Uhuru kua wauze bei kubwa na kuwapiga wanunuzi....
 
Watu wa DSM acheni kulialia mimi nipo huku Kibiti...kama kawaida tangu nirudi.Sasa nani ajui kua Serikali nayo ina vituo vya kuuza mafuta siku hizi...nendeni kwenye vituo vya Serikali mkanunue mafuta
 
Hili sakata la mafuta tangia lianze mpaka kukamatwa kwa wakurugenzi ni upande wa wauzaji tu ndio wanalaumiwa.

Kwanini waandishi wa habari awaendi kuzungumza na suppliers kujua changamoto walizonazo na wao.

Ukishapata argument za pande mbili ndio uitimishe nani ni tatizo. Taasisi za serikali zinatabia za kutoka lawama kwa wafanyabiashara ata pale ambapo wao wanapokuwa source of the problem.

Tujizoeshe utamaduni wa kushutumu au kuhitimisha vitu based on evidence/arguments presented by both sides.
Waandishi wa habari ni kanyabwoya, wao wanajua kufuatilia habari za wasanii tu. Yanayohusu jamii hawapo kabisa
 
Tatizo sio wamiliki wa vituo vya mafuta.ishu iko kwa waagizaji kutoka nje.bei iliyopo sokoni ni tofauti na waliyochukulia kwenye solo LA dunia .ndio maana serikali imekaa kimya katika hilo.pia bei ya mafuta itapanda zaidi
 
Ukisikia ulofa ndo huu. EWURA ipo chini ya wizara gani? Bashungwa anahisikaje na mambo ya mafuta?
 
Mkuu siyo hapa dar tu leo hii nina rafiki yangu yupo mkoani mtwara anasema amekwama wilaya moja ya mkoa huo hakuna kabisa petrol
MIMI UKANA SHILUNGO NIPO MNAZI MMOJA (LINDI)NAKULA BALIMI ZANGU ,STATION MBILI HAZINA MAFUTA YA TATU KWENDA NGONGO KUNA MAFUTA.NIMEREFILL 2 HOURS AGO, ITANIFIKISHA KILWA MASOKO NAKELEKEA KIFUPI KUNA MAGUMASHI FUEL VENDOR WANATAKA SUPER PROFIT
 
Hongera sana mzee kwa kupiga hizo balimi
 
Back
Top Bottom