https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2020/06/AGIZO-KWA-VITUO-VYA-MAFUTA.pdf
Nikisoma tu hiyo report ya EWURA kwenye ku control supply naona kuna tatizo hakuna exact inventory za litres ambazo wauzaji wanatakiwa kuwa nazo ambazo wakifikisha lazima wanunue kuhakikisha awaishiwi stock based on ‘lead time’ ya kuagiza. Similary suppliers wa jumla sidhani kama na wao wamewekewa same conditions.
Waandishi wahabari inabidi wawe wachunguzi kuelewa kiini cha tatizo kwenye sector, uwezi kuhitimisha kirahisi tu kama eti mafuta yameshuka bei na wauzaji lazima washushe it doesn’t work that way throughout the supply chain.
Refiniries wananunua stock kubwa na wao for inventory purposes. Crude stock ya mwezi uliopita inaweza safishwa a month later kwa ivyo itauzwa kwa bei iliyonunuliwa sasa wewe kesho ukiona mafuta yameshuka kutoka kwa wazalishaji wa crude inabidi ujue hadi bei mpya ifike sokoni inaweza kuchukua miezi miwili, na itashuka vipi inategemea kampuni ina record stock zake based on Average Costing or FI-FO.
There is a lot to weigh in zaidi ya kulaumu tu wauzaji kirahisi inabidi ufahamu wananunua wapi ujue bei ya hiyo crude na refiniring cost. Hili jambo ni muhimu refined oil kutoka India ni bei che kushinda nchi nyingi kwa sababu refiniries zao ni modern na zinatoa mafuta mengi kwenye crude.
Nchi kama UK waulize BP, Shell na makampuni mengine ya mafuta wamepitwaje idadi ya vituo vya mafuta na supermarkets kama TESCO; jibu India refined oil is very cheap.
Waandishi wahabari inabidi wawe investigative kujua tatizo ni nini haswa sio kulaumu tu je chanzo ni poor supply/inventory management, prices control mechanism ya EWURA, poor regulatory supervision guidelines or what exactly is the problem.