Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
kuna mahala kitu hakipo sawa ivi kituo kimoja cha kufua umeme kikipata itilafu grid nzima ndo inaathirika?.........au imeathirika sehem tu ya grid na sio yote? na why hizi hitilafu za mara kwa mara saiv....au zilikuwa zinamuogopa jiwe kipind kile?........mm nlikiwa namkubali jiwe kwenye umeme aliweza sana na corona hapo tu.