antibiotic
Member
- Apr 4, 2012
- 36
- 47
hivi ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge sometimes back?sijawahi kumsikia akitukana lakini
Wasaliti wataanza kufa moja baada ya mwingine. Jitayarishe Dr mihogoRIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Wengine wanauwawa watu wanapanda vyeo alafu baadhi tunasema R.I.P.
Mnakejeli wagonjwa,mnasikitia marehemu!
Huu unafiki kwa mungu haupo.
Kampeni za CCM zinazoendelea wanaonyesha UNYANYAPAA mkubwa incase mtu ana hali ya ugonjwa, UZIMA,KIFO NA UGONJWA HAVIPO NDANI YA UWEZO WA MWANADAMU.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.
Usililie waliokufa ililie nafsi yako na walio hai.Alikufa Mohamedi Mtoi hakuna mwana CCM hata mmoja aliyekashifu kifo cha jamaa wote waliungana na CHADEMA kutoa pole. Lakin leo kafa mama Celina wa CCM duu CHADEMA mmefurahi mpka basi. Huu ni wakati wa watanzania kuwapima watu hawa kwani hawafai hata kidogo yani nasema nyie mpo tayar kutoa roho za watanzania wasio waunga mkono yani hamna tofauti na makundi ya kigaidi. Ndio maaana ccm na wananchi hawataki kuwapa nchi zaidi mmendelea kuungwa mkono kwa nje ya mioyo ya watu lakin ktk masanduku ya kura wanawaliza
Ni kweli haya maneno yalisemwa na Celina?"Bora Lowassa kaondoka CCM hajatufia aende akafie huko CDM....." By Celina Kombani.