TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Kampeni za CCM zinazoendelea wanaonyesha UNYANYAPAA mkubwa incase mtu ana hali ya ugonjwa, UZIMA,KIFO NA UGONJWA HAVIPO NDANI YA UWEZO WA MWANADAMU.
 
R.i.p. Mama kombaini, wafiwa wote poleni!!
Mungu awape uvumilivu na amani!!
 
Wengine wanauwawa watu wanapanda vyeo alafu hapa tunasema R.I.P!

Mnakejeli mnaowaona wagonjwa,mnasikitia marehemu!

Huu unafiki kwa mungu haupo.
 
R.I.P Mama Kombani,
Poleni sana wanafamilia,
Poleni Watanzania wote kwa ujumla.
 
Wengine wanauwawa watu wanapanda vyeo alafu baadhi tunasema R.I.P.

Mnakejeli wagonjwa,mnasikitia marehemu!

Huu unafiki kwa mungu haupo.

Kampeni za CCM zinazoendelea wanaonyesha UNYANYAPAA mkubwa incase mtu ana hali ya ugonjwa, UZIMA,KIFO NA UGONJWA HAVIPO NDANI YA UWEZO WA MWANADAMU.

"Bora Lowassa kaondoka CCM hajatufia aende akafie huko CDM....." By Celina Kombani.
 
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg


Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.

mbona akiwa anaumwa hamsemi mpaka kaenda india mme kaakimya tanzania bwana
 
Alikufa Mohamedi Mtoi hakuna mwana CCM hata mmoja aliyekashifu kifo cha jamaa wote waliungana na CHADEMA kutoa pole. Lakin leo kafa mama Celina wa CCM duu CHADEMA mmefurahi mpka basi. Huu ni wakati wa watanzania kuwapima watu hawa kwani hawafai hata kidogo yani nasema nyie mpo tayar kutoa roho za watanzania wasio waunga mkono yani hamna tofauti na makundi ya kigaidi. Ndio maaana ccm na wananchi hawataki kuwapa nchi zaidi mmendelea kuungwa mkono kwa nje ya mioyo ya watu lakin ktk masanduku ya kura wanawaliza
Usililie waliokufa ililie nafsi yako na walio hai.

Kama unalilia utu kwa marehemu si bora zaidi kwa walio hai?

Mjifunze kwa matusi na dhihaka mnayomfanyia Lowassa kama yana chembechembe za utu unaotaka tuufanye kwa marehemu.
 
R.I.P Kombani hatukuambiwa ukiwa mgonjwa unatibiwa india maombi yetu yangekuwa msaada pia Mbele yetu nyuma yako Mungu akupe pumziko la Amani
 
Jamani kumbe alikuwa anaumwa,nikajua ni Edo tu ndo mgonjwa.
R.I.P Mama Kombani mungu akuweke pale unapostahili,Ameni.
 
Back
Top Bottom