Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

Mkuu kwa hio kwa ufisadi huo ndio maana wakamuwahisha
Kama ni ufisadi ni wa baba yao watoto inawahusu nini?
Kwa hio kwakua tu ni mafisadi afya ya baba yao haiwahusu si ndio!?
Kusema kweli JF imeharibika sana, maana imevamiwa na watu wa fb, insta na vijiwe tu. Hakuna akili, maarifa wala utu!. Hapafai hapa kwa masuala yenye mantiki na weledi.
 
hata ukiwa wewe utaweweseke usione kwa wenzako kama ni rahisi.
Kwani nimebisha mkuu, me nimetoa tu maoni kimsingi hata mimi ningeweweseka japokuwa binafsi nimezaliwa mtoto wa 9 kwa hiyo wakati nakuwa baba yangu akishaenda umri vya kutosha kwa hiyo nilishajipanga kisaikolojia kutafuta bila kuweka utegemezi mkubwa kwake.

Hata alipokufa nilipatwa tu na uchungu wa kawaida ila sio kuweweseka. Kifo cha mzee wangu kinafanana kiasi na hiki kifo cha Mfugale, yeye alisema anajisikia vibaya anaenda kulala baada ya masaa mawili wakasikia anakoroma mwisho akakata roho.

Kwa hali ya kawaida mtu ana miaka 71 then wewe unaweka utegemezi wa kiwango cha juu as if ni kijana huyo.

Maisha ya mwanadam ni mafupi sana na yamejaa shida nyingi.
 
Jamani kuweni makini na hizo AC hasa ukiwa na magonjwa nyemelezi.
Kuna maofisi mengi tu watu wanajiua kimya kimya. Yaani unaingia ofisini unakuta baridi ya kwenye friji! Wapendwa! Mnajiua!
Ukiwa na AC zingatia yafuatayo:
1. Room temperature
2. Refrigerant iliyopo ndani ina madhara gani? Refrigerant nyingi huku Tz ni sumu kamili!
 
Kusema kweli JF imeharibika sana, maana imevamiwa na watu wa fb, insta na vijiwe tu. Hakuna akili, maarifa wala utu!. Hapafai hapa kwa masuala yenye mantiki na weledi.
Yeye ni wa kwanza kufa ghafula?
 
"Katika kikao hicho majira ya saa nne, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya na ndipo Katibu Mkuu akamueleza aende akapumzike katika ofisi jirani ambayo ni ofisi yake ili kikao kiendelee".

Mtu akijisikia vibaya si hupewa huduma ya kwanza na endapo hali ikizi kudhoofu si hulazimika kupelekwa hospitali!?
Huduma ya kwanza maana yake nini
 
Back
Top Bottom