Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) akiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Kigahe waliongea na Menejimenti pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara kuhusu mwelekeo wa kuendeleza sekta ya viwanda na biashara ili kukuza uchumi.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akiwa na Naibu Waziri, Mhe. Exaud Kigahe, Menejimenti na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wazara walitembelea jengo la Wizara 18/7/2023 kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo linalotarajia kukamilika Oktoba 2023.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…