Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
HUyu ataishia kula mananasi yaliyooza na kujifukiza na mumewe ila hiyo meza ina vinywaji vya bei kali kamwe hawezi jaribu hata kuigusa.Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
HII SIYO KINONDONI KWAMBA KILA MTU NI MSEMAJI!Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
Hizi ni ndotoWatanzania tukiwa serious hili suala la utekaji linaweza kutufanya tupate Katiba Mpya hata kabla ya Uchaguzi
Kila kitu kinaanzia na ndoto.Hizi ni ndoto
Naam.Kila kitu kinaanzia na ndoto.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua
Ninachokifahamu ni kuwa hata baadaye, kutakuwa na mabadiliko ya katiba..Kila kitu kinaanzia na ndoto.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua
Vyama vya siasa nchi hii ni Chadema na CCM tu.Ninachokifahamu ni kuwa hata baadaye, kutakuwa na mabadiliko ya katiba..
Kwa nini si sasa bali ni baadaye, ni kwa sababu hata baadhi ya vyama vimegawanyika na havna ushrikiano
HahahahahahahaaaVyama vya siasa nchi hii ni Chadema na CCM tu.
Sasa vyama gani vimegawanyika?
Vitaongeaje lugha moja?Hahahahahahahaaa
Daaa haya bhana!
Kwani hivyo viwili vinaongea lugha moja kuhusu katiba?
Ndio sehemu unadharauliwaVyama vya siasa nchi hii ni Chadema na CCM tu.
Sasa vyama gani vimegawanyika?
Acha ***** ***** kijana 🥺Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
Hapo kwenye no reforms, no election tutaongea hadi kesho na haitaishaVitaongeaje lugha moja?
Chenye support ya wengi mwenye hoja ya No Reform No Election ni Chadema.
Unataka na yeye wam Gwajimanize. Huo mtego usitegemee kama ataunasa kwa urahisi hivyo. Kiufupi tu ata mute kama hayupo vile.Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.