Waziri Dkt. Gwajima D unazungumziaje suala la Utekaji?

Waziri Dkt. Gwajima D unazungumziaje suala la Utekaji?

Please naomba usimchokonoe mama Vick bado ana kesi ya wale mabinti wa mwijaku
Kesi ikiisha atakuja kukujibu
 
Hivi kuna anaye support utekaji ?

Tatizo haya mambo serious tunayapeleka Kisiasa zaidi ndio maana huenda tukashindwa kuyapatia ufumbuzi; Every Life Matters na kila mtu inabidi akemee na aendelee kukemea tatizo katika ukemeaji kuna watu wanatumia kama political mileage au wengine kumiss qoute watu matokeo yake tunatoka kwenye reli badala ya kukemea na kutafuta suluhisho tunaongelea wakemeaji na wanaoshutumiwa.....; i.e. tunayosheana vidole....

 
Wabongo miyeyusho sana, wanakumpampu uongee halafu ukiongea likikukuta jambo hamna anayekutetea.

Wewe hapo unamuambia aongee, wewe kimekushinda nini kujianika na ID yako halisi halafu ukaongea?!

Ungekuwa kwenye nafasi yake ungeweza kuongea?
 
Back
Top Bottom